Mungu huwapa vichaa maono?

Mungu huwapa vichaa maono?

Kuna kichaa huku mtaani kwetu hapendi watu weupe,watu weusi tiii ndo marafiki zake.Akikuona mweusi anakufata mpaka kwako na hataki kutoka mpaka umfukuze na mawe,ila weupe anawapiga vibao kweli
Haha kweli wife kuna siku alikula bonge ya kibao akabaki anashangaa tu ndio watu wakamwambia huyo kichaa hapatani na watu weupe
 
Back
Top Bottom