Mungu huwa anajibu (Karma)

Mungu huwa anajibu (Karma)

Magoya2000

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
641
Reaction score
1,265
Naamini wote wazima wa Afya. Miezi miwili iliyopita nilipigiwa simu kwamba mdogo wangu analia sana yupo stress hata kula hawezi kisa Mwanamke kamuacha. Nikaona ni heri niende kuonana naye nikamshauri sana dogo nikamuambia maisha safari Mungu anakupenda hivyo usikate tamaa.

Akaniambia huku akilia Kwamba usiku huu mkewe anaolewa ndoa ya Kiislam. Nikaendelea kumtia moyo kwamba hilo sio chagua lako tulia upepo utapita utapata kwa kukufaa. Dogo akanisikiliza nikampiga gambe akapata usingizi siku ikaisha.

Next day akaendelea na mishe yake. Sikuamini kumbe alinisikiliza akaondoa mawazo yake kwa mkewe akafanya yake. Ikapita miezi miwili leo ananipigia simu anadai yule mume amefariki na wanamzika Leo. Nikamshauri achana nao kabisa Fanya yako. Mungu anajibu.

Haya Maisha usiangaike na binadamu ambaye hujazaliwa naye. Kama kazingua achana naye Mungu atakupa wa kukufaa. Nawashauri wadogo Maisha ni safari ndefu Sana.
 
Sasa kwani jamaa ndie alie mliza dogo au mwanamke na karma kwenye hichi kifo kinahusikaje hapa? Au mimi akili yangu ya kilunatics tu.

Lunatic
 
Kifo cha huyo jamaa kimetokea tu na hakihusiani na malipo ya jamaa kumuona shemeji ama huyo mke wenu wa zamani.

Mlivyo mataahira mtaamini kwamba mungu amewalipia amemuua mshikaji kwa sababu alioa mke wa ndugu yenu.

Halafu mdogo wako bado anampenda yule mwanamke, ndio maana anafuatilia maisha yake hadi sasa.

Mwambie dogo akiachwa aachike, asifuatilie maisha ya watu. Huyo mwanamke atapata bwana mwingine atamuoa.

Mwanaume unalilia mwanamke una akili kweli?
 
Katika kosa alilofanya mdogowako ni kumpenda sana mwanamke na kujipa umuhimu kwake halafu na kufuatilia maisha ya aliyeachana naye💖 wanaume hatugandilii hivyo
 
Hapo karma inahusikaje..? Sio kila kitu karma.

Dogo Kama alikua Hana hela na kapatikana ustadhi Juma na Musoma ana dolali kwa nn mke akaze shingo? Hamma anaetaka shida dunian huyo jamaa kufa muda wake ulifika tu.

Dogo kama alikua hasugui mbususu ipasavyo na Kampata Mayobi afanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
mayombi umenit***mbea mke wangu, alisikika jamaa mmoja
 
Kwakuwa wewe na mdogo wako mtaishi milele basi kanyweni bia Tena na karma yenu
 
Khaa! Ukimpenda mwanamke na ukaona anafaa muoe mambo ya kumchombeza mwisho unamchoka unaanza kutoa kasoro mara mfupi

Kila nafsi itaonja umauti kwahiyo hii ni safari ya jamaa imewadia basi hakuna cha karma wala nini!
 
Hakuna Karma hapa ni kifo kama vifo vingine, kazi ya Mungu haina makosa.
 
Achen basi ,

Huyo dogo lako alikua kamuoa huyo mwanamke mpaka kumuita Mkewe?

Inamaana mke wa mtu alienda olewa na mwanaume mwingine ???

Au alikua demu tu ?????

Hawa wanawake kuna mahali wanafika wanahitaji ndoa, mtu unamtomba tu kila kukicha, lkn suala la ndoa au kumwambia basi njoo tuishi pamoja, HAMNA...

Keshakua, anaona kwao wanamzonga tu japo nyumban ni nyumban....

DOGO AACHE MBWEMBWE NA WALA ASIFURAHIE KIFO CHA JAMAA..

Kama nikarma ilitakiwa impate Demu lkn sio Jamaa wa watu asokua na hatia.

ANAVYOJITAPA KWANN WATU WASIHISI YEYE NDO KAMWENDEA KIGOMA????.

Mpaka demu anaolewa Usiku huo, inamaana alikua tayari ana mahusiano na huyo jamaaa, , ndo ivo nayeye alivyoona huku hakueleweki, akaona bora aende kule, japo apate heshima..

Yaan nikma sisi wanaume, unakua na madem watatu, unawapimaaa, yule mwenye unafuuu kidogo, unaoa..... Sasa kuna uwezekano, hao wawili ulowaacha, waende kwa waganga wakuroge wew, au wamroge huyo unayemuoa, ili ubaki mwenyewe ,uwarudie wao...

Mimi niseme jambo moja, Jamaa kafariki kifo chake ambacho alipangiwa na HAKIHUSIANI na nyinyi
IVO, MWAMBIE DOGO AACHE UJINGA WAKE, YEYE KAMA ANATAKA MKE ATAFUTE AOEEE .
Kunywa soda mkuu ushushie nondo za maana ulizoandika hapa
 
Back
Top Bottom