"mungu hutaniwi hata kidogo...?"

HP1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
3,362
Reaction score
878
Jamaa wawili walikuwa wakisafiri kwa mtumbwi, ghafla mtumbwi wao ukapigwa na dhoruba kali ukapinduka. Jamaa wakatapatapa wakasema "..ee Mungu tusaidie..!". Ghafla wakaona magogo mawili wakayapanda yakawa yanaelekea ufukweni.
Jamaa 1: Tumshukuru Mungu amtusaidia
Jamaa 2: Wala sio Mungu magogo yamejitokeza tu
Mara lile gogo la Jamaa 2 likavunjika akaanza kupiga makele akisema Mungu nisaidie!
Wimbi kubwa likaja na kumsukuma mpaka kwenye ukingo.Akakamata majani akianza kujitoa kwenye maji
Jamaa 1: Mshukuru Mungu
Jamaa 2: Sio Mungu wala nini
Ghafla majani yakang'oka akatumbukia kwenye maji. Akapiga Makelele akisema "..MUNGU HUTANIWI HATA KIDOGO...?"
 
Alikuwa anambeep
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…