Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 356
- 704
Hakika mkuu Mungu usema nasi kupitia Neno lake na hata Kwa ndoto piani jambo linalowezekana kabisa...kwasababu alisema tutamtafuta na kumuona tutakapomtafuta Kwa moyo wote Yeremia 29:13....
Ila inahitaji sana ukamilifu na nafsi ya kumtafuta kwa maombi na kusoma neno....bila kuwa karibu na neno hata akisema hauwezi kuelewa....pia roho mtakatifu na Mungu husema sana kwa maandiko ....biblia inamfano wa kila tukio katika maisha yetu..
Tafadhari waone Wataalamu Wa Magonjwa ya Akili haraka...!Utangulizi
Miaka 12 iliyopita wakati nikiwa shuleni Niko kwenye sehemu ya chakula najiandaa Kwa ajili ya ibada ya jioni , Kwa mara ya Kwanza nilimskia Mungu akisema Nami wazi wazi kwakweli nilishangaa Sana, Mungu alisema Nami juu ya tukio ambalo liko mbele yangu.
Nakumbuka katika ibada hiyo ambayo ilikuwa ya jioni, tulikuwa na utaratibu wa kutoa zawadi Kwa wale ambao tunawaombea na Mimi nilikuwa nimeandaa zawadi Kwa Yule ambaye alikuwa ananiombea na Mungu alinikumbusha tabia yangu ambayo ilikuwa ni kukimbia kipindi kama hicho
Nakumbuka nikiwa mwaka wakwanza kuna Kaka alikuwa anafanya maombi Kwa ajili yangu na Ile siku ya kumaliza mwaka ulikuwa ni siku ya kupeana zawadi na kutambua wale ambao tulikuwa tunaombeana SASA Mimi si kwenda
Mungu alisema Nami na kuniambia kwamba muhusika hata kuja na kunitia Moyo Kwa kile ambacho kitatokea ili kikitokea nisishangae wala kuhudhunika
Mungu amekuwa anasema Nami mara Kwa mara Kwa kupitia Roho matakatifu wake, changamoto yetu wanadamu sio kusikiliza Mungu ni kutii kile Mungu anachosema
Mara nyingi Mungu amekuwa anasema Nami na mara nyingi atasema Nami hasa Kwa juu ya maamuzi ambayo ninataka kufanya ambayo yanaweza kupeleka kupata hasara
Mungu anasema wazi wazi lakini pia anasema kwakupitia ishara mbalimbali ndani yangu Kwa njia ya Roho mtakatifu
Umewai kujiuliza unakwenda dukani kununua kinywani Kwa ajili ya familia yako unaskia Mungu anasema nawe chukua kinywani flani unaskia mwili wako unakusemesha maelekezo ya mazoea unaachana cha Mungu unafanya cha kwako
Unashangaa kile kinywani mara kinaleta madhara Kwa mwenzako kumbe Mungu alisema nawe mapema kukusaidia usipate hasara
Kuna vitu vidogo unaweza kupuuzia lakini Mungu anasema nasi Kwa vitu vidogo Sana ambavyo usipotii unapunguza ushirika naye
Watu wengi wameshindwa kujua kwamba Mungu anasema nao na wamejikuta wanapata hasara , ulishawai kuskia MTU anasema niliskia moyoni mwangu nisiende mahali flani lakini sikufanya hivyo ndo maana Jambo ili limenipata
Kuna watu wamesemeshwa na Mungu mara Kwa mara lakini wameshindwa kutii na kukosa ushirika WA Mungu Kwa Roho mtakatifu
Biblia inasema unapompokea Yesu kuwa Bwana na Mokozi ya Maisha yako, Yesu Kristo na Mungu Wanaingia ndani yako Kwa Roho mtakatifu hivyo kumsikia Mungu anasema nawe ni haki yako
Ni itakuwa ajabu mama mjanzito asijui kwamba mtoto aliyoko tumboni mwake kama anacheza au laa
MTU akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya yakale yamepita tazama yamekuwa mapya, unapookoka Una zaliwa Kwa mara ya pili kwa Roho wa Mungu hivyo ni haki yako kuskia sauti ya Baba
Aminakuna mtu hapo.juu amebisha ila mfano mimi nauhakika roho mtakatifu husema kwa kuweka uzito moyoni au wepesi(furaha) moyoni katika suala Fulani...wengine hunaita (machale)
Mfano mimi, kuna binti toka siku ya kwanza amekuja kuna roho ilinigomea kabisa, nimamuacha aende....na kilamuda nilijikuta tu sina amani wala furaha nae....pia mwezi mmoja kabla sijapata majanga ya kupona ukimwi niliota zaidi ya mara 6 na pia nilikuwa nawaza na kuhisi sana kuhusu HIV mwisho akajisemea anaumwa it was hell....Ila nilipona.
Nikampa Mungu maisha yangu yote na njia zangu.
NIKUAMBIE KITU MWALIMU........!!!Utangulizi
Miaka 12 iliyopita wakati nikiwa shuleni Niko kwenye sehemu ya chakula najiandaa Kwa ajili ya ibada ya jioni , Kwa mara ya Kwanza nilimskia Mungu akisema Nami wazi wazi kwakweli nilishangaa Sana, Mungu alisema Nami juu ya tukio ambalo liko mbele yangu.
Nakumbuka katika ibada hiyo ambayo ilikuwa ya jioni, tulikuwa na utaratibu wa kutoa zawadi Kwa wale ambao tunawaombea na Mimi nilikuwa nimeandaa zawadi Kwa Yule ambaye alikuwa ananiombea na Mungu alinikumbusha tabia yangu ambayo ilikuwa ni kukimbia kipindi kama hicho
Nakumbuka nikiwa mwaka wakwanza kuna Kaka alikuwa anafanya maombi Kwa ajili yangu na Ile siku ya kumaliza mwaka ulikuwa ni siku ya kupeana zawadi na kutambua wale ambao tulikuwa tunaombeana SASA Mimi si kwenda
Mungu alisema Nami na kuniambia kwamba muhusika hata kuja na kunitia Moyo Kwa kile ambacho kitatokea ili kikitokea nisishangae wala kuhudhunika
Mungu amekuwa anasema Nami mara Kwa mara Kwa kupitia Roho matakatifu wake, changamoto yetu wanadamu sio kusikiliza Mungu ni kutii kile Mungu anachosema
Mara nyingi Mungu amekuwa anasema Nami na mara nyingi atasema Nami hasa Kwa juu ya maamuzi ambayo ninataka kufanya ambayo yanaweza kupeleka kupata hasara
Mungu anasema wazi wazi lakini pia anasema kwakupitia ishara mbalimbali ndani yangu Kwa njia ya Roho mtakatifu
Umewai kujiuliza unakwenda dukani kununua kinywani Kwa ajili ya familia yako unaskia Mungu anasema nawe chukua kinywani flani unaskia mwili wako unakusemesha maelekezo ya mazoea unaachana cha Mungu unafanya cha kwako
Unashangaa kile kinywani mara kinaleta madhara Kwa mwenzako kumbe Mungu alisema nawe mapema kukusaidia usipate hasara
Kuna vitu vidogo unaweza kupuuzia lakini Mungu anasema nasi Kwa vitu vidogo Sana ambavyo usipotii unapunguza ushirika naye
Watu wengi wameshindwa kujua kwamba Mungu anasema nao na wamejikuta wanapata hasara , ulishawai kuskia MTU anasema niliskia moyoni mwangu nisiende mahali flani lakini sikufanya hivyo ndo maana Jambo ili limenipata
Kuna watu wamesemeshwa na Mungu mara Kwa mara lakini wameshindwa kutii na kukosa ushirika WA Mungu Kwa Roho mtakatifu
Biblia inasema unapompokea Yesu kuwa Bwana na Mokozi ya Maisha yako, Yesu Kristo na Mungu Wanaingia ndani yako Kwa Roho mtakatifu hivyo kumsikia Mungu anasema nawe ni haki yako
Ni itakuwa ajabu mama mjanzito asijui kwamba mtoto aliyoko tumboni mwake kama anacheza au laa
MTU akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya yakale yamepita tazama yamekuwa mapya, unapookoka Una zaliwa Kwa mara ya pili kwa Roho wa Mungu hivyo ni haki yako kuskia sauti ya Baba
Nature huwa inaongea na sisiUmejaribu kupima Malaria?
Umemsoma mleta mada lakini na ukamuelewa?Nature huwa inaongea na sisi
Kuna jambo unaweza taka kufanya ukakosa aman kabisa ile ni sauti inayokukataza usifanye
Unaweza ukawa unataka kukutana na mtu flani ila ukakosa aman kabisa hofu ikakushika hiyo ni sauti inayokuambia usikutane na huyo mtu
Unaweza ukawa unakaa na mtu lakin unakosa aman ni sauti inayokuambia huyo mtu sio mzuri hana nia nzuri na wewe
Kila mtu ana-uhuru wa kuamini kile anachoaminiUmemsoma mleta mada lakini na ukamuelewa?
Wewe unaongelea sauti ila mleta mada anasema alimsikia Mungu akisema nae waziwazi,
Msome tena hapa,waziwazi tunaweza kusema Live au Mubashara,
''Kwa mara ya Kwanza nilimskia Mungu akisema Nami wazi wazi kwakweli nilishangaa Sana, Mungu alisema Nami juu ya tukio ambalo liko mbele yangu"
Kwahiyo mleta mada yeye aliongea waziwazi na Mungu yupi kati ya hao Miungu unaosema wapo wengi?Kila mtu ana-uhuru wa kuamini kile anachoamini
Mungu wake anaongea naye siwezi mbishia.,
kama wewe Mungu wako hawezi kuongea na wewe ni sawa
Kumbuka kuna Miungu wengi ndo maana dini ziko nyingi