Mungu hana sifa tatu, tu!

Kwani upendo ni nini mkuu?maana mie linanitatiza sana hili jambo,kwa mfano mzazi akimchapa mwanae tunaweza kusema huyo mzazi hana upendo?
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kama hakuna kisicho na sababu, Mungu sababu yake nini?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao uovu hauwezekani kuwepo?

Tsunami linapopiga na kuua watu, watu wamechagua lipige?
Unaonaje ukathibitisha kuwa hakuna Mungu kuliko kubisha masuala ya Tsunami?
 
Unaonaje ukathibitisha kuwa hakuna Mungu kuliko kubisha masuala ya Tsunami?
Masuala ya tsunami ni sehemu ya uthibitisho kwamba hakuna Mungu, unaelewa hilo?

Wewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Masuala ya tsunami ni sehemu ya uthibitisho kwamba hakuna Mungu, unaelewa hilo?

Wewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Masuala ya Tsunami hayawezi kuwa uthibitisho,kinachotakiwa ni wewe kuthibitisha madai yako kuwa hakuna Mungu kwa sababu kama kusingekuwepo Tsunami ndio ingekuwa Mungu yupo?
 
Masuala ya Tsunami hayawezi kuwa uthibitisho,kinachotakiwa ni wewe kuthibitisha madai yako kuwa hakuna Mungu kwa sababu kama kusingekuwepo Tsunami ndio ingekuwa Mungu yupo?
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao tsunami haliwezekani kuwepo?

Kama alishindwa, je ni kweli ana uwezo wote? Mbona kashindwa?

Kama hakushindwa, je ni kweli ana upendo wote? Mbona kaachia tsunami liwezekane wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauna tsunami?
 
Hoja yangu si kwamba Mungu hajaingilia kati mambo.

Hoja yangu ni kwamba, kwa nini Mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya to begin with?

Hujajibu swali hili.
 
Tangu nianze kufuatilia mijadala ya namna hii sijawahi kuona mtu anayekaribia kutoa jibu sahihi kwa Kiranga wengi wanatumia Qur'an na Bible kumjibu kitu ambacho bado kinaleta contradictions. Mistari ya kwenye hivyo vitabu inapingana yenyewe kwa yenyewe. Kuna mistari inaonesha Mungu ni mwenye upendo,huruma,nguvu n.k. lakini mistari mingine inaonesha Mungu ni dhaifu asiyeweza kuwalinda au kuwaepusha na matatizo wale wasio na hatia.

Mimi natambua uwepo wa Mungu kutokana na malezi niliyopitia lakini kwa sasa inabidi nijipe kazi ya ziada ya kutoka nje ya box kuutambua ukweli.
 
Kusingekuwepo Tsunami ndio ingekuwa Mungu yupo?

Thibitisha kuwa hakuna Mungu.
 
Ni mstari gani unaonesha Mungu ni dhaifu?
 
Mtoto anayepigwa shule hana baba mjuzi wa yote, mwenye uwezi wite na upendo wote.

Huyo baba angekuwepo, huyo mtoto asungehitaji hata kwenda shule.

Licha ya kupigwa shule.
 
Mtoto anayepigwa shule hana baba mjuzi wa yote, mwenye uwezi wite na upendo wote.

Huyo baba angekuwepo, huyo mtoto asungehitaji hata kwenda shule.

Licha ya kupigwa shule.
Upendo ni nini? ni kutumia ujuzi na uwezo?
 
Upendo ni nini? ni kutumia ujuzi na uwezo?
Hujajibu hoja.

Unaonesha tu hunui majibu.

Kama una uwezo wa kuzuia mabaya yasitokee, na unawapenda watakaopatwa na mabaya, kwa nini usizuie mabaya kutokea?
 
Hujajibu hoja.

Unaonesha tu hunui majibu.

Kama una uwezo wa kuzuia mabaya yasitokee, na unawapenda watakaopatwa na mabaya, kwa nini usizuie mabaya kutokea?
Nimekuuliza swali ajabu unaniambia sijajibu hoja.

Nimeuliza upendo ni nini? Ni kutumia uwezo na ujuzi?
 
Nimekuuliza swali ajabu unaniambia sijajibu hoja.

Nimeuliza upendo ni nini? Ni kutumia uwezo na ujuzi?
Tatizo huwezi kuona jibu hata nikiliweka chini ya pua yako.

Unalinukuu jibu, halafu bado unataka jibu.

Kwa sababu hujui kusoma kwa ufahamu.

Hujui Socratic method.

Hujui immanent critique.

Hujui kusomankwa kufuata mantiki.

Hayo ni mapungufu ya upande wako.

Ndiyo maana unaamini Mungu mwenye uoendo qote kaumba ulimwengu unairuhusu tsunami. Linaloua viumbe wake, moaka wasii na hatia, kwa mafungu ya maelfu.

Wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi juwa na mabaya.

Hii ni contradiction.

Inayoonesha Mungu huyu hayupo.

Huyu Mungu ni hadithi tu.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha yupo.

Kama unafikiri unaweza juthibutisha yupo, thibitisha yupo.

Usilete longolongo nyingi.
 
Kwani mungu alitaka kusiwe na Tsunami au ni kitu umejiwekea kwenye mawazo yako?
 
Sielewi kitu kimoja kutoka kwako,mbona kama kuna imaginations ambazobunajiwekea kwamba ‘ilitakiwa kua hivi’ ndio unazilazimisha kua?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu usio na tsunami kwani ndio lilikua lengo lake hilo?

Au lengo lake lilikua aumbe bila kuwepo mabaya?naomba unijubu hayo maswali kwanza kisha tuendelee
Narudia tena nijubu maswali kwanza ndio tuendelee.
 
Ikiwa Yote mnayojiibidisha ni juhudi zenu ..Basi liamuruni jua lishushe maji.
 
Ikiwa Yote mnayojiibidisha ni juhudi zenu ..Basi liamuruni jua lishushe maji.
Hili halipo pale wala hapa.

Hija ni Mungu yupo au hayupo.

Jua likishusha au lisiposhusha maji, tokeo lolote kati ya hayo, halitathibitisha Mungu yupo au hayupo.

Na wengine wanaweza kukuambia mvua inaponyesha ni jua limeshusha maji. Kwa sababu mvua haiwezekani kunyesha bika jua kusaidia kuyaoandisha maji ya chini yaende juu kwenye mawingu kwa evaporation.

Umesoma jinsi mvua inavyonyesha na kuelewa jua linaletaje mvua?
 
Longo longo unaleta wewe sio mimi,mie nimeuliza upendo ni nini? ni kutumia ujuzi na uwezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…