Mungu Fundi... Baba mtaalam...

Mungu Fundi... Baba mtaalam...

Pamoja na uzuri wao wote hao lakini bado hakuna hata anayefikia theluthi tu ya uzuri kwa Cleopatra.
Kama uzuri huo uliuona kwa macho yako na kuuchambua kwa utashi wako na siyo masimulizi uliyoppewa basi una sababu ya kufanya huo ulinganishi. Vinginevyo sifia ukionacho kwa mcho yako na siyo usimliwacho.
 
Mwambie afanye mazoezi kwanza kupunguza hiyo mifuta kwenye mipaja, juu yuko poa ila kiuno kushuka chini ni kinyaa!
Kwahiyo mkuu wewe unaona kinyaa hapo? [emoji3][emoji3][emoji3] watu bhana
 
Nimekaa chini Mtu mzima nikafikiria...

Warembo wengi sana kwenye hii DUNIA...

Demu namba NANE kichwani akanijia...

Toka MOYONI sina budi kumsifia...

Mwenye SURA matata, Macho yanayoita...

Hana utata huyu binti wa Kiafrika...

Hata mcheki alipopita anabebeka kama GITA...

Akitembea bado anatingisha...

Anapendeza kimavazi, hata akiweka POZI...

Mtoto anaweza akakujia hadi kwenye NJOZI...

Sijui niseme akae, au ukisema asimame...

DEMU umbo namba NANE watu wote mumuone...
 
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom