Nimeshangaa watu na akili zao wanasema tatizo la Arsenal ni kocha, tatizo sio kocha ni quality players, tangu lini Arsenal ikawa na midfielder wa kiwango cha Guendoz au center back wa kiwango cha Sokratis.
Anayedhani kuwa kwa kumtoa Unay eti timu itafanya vizuri hayuko sawa upstairs.