Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Kila nikitazama clip na live za manabii,kuhani,wachungaji najiuliza kweli wote wayatendayo haki ktk imani kweli?
Wengi wanahubiri mafanikio ktk biashara,kazi na kipato.Sioni wakihubiri zaidi ktk kuwajenga watu ktk imani na kumcha mwenyezi.
Wanahubiri matukio zaidi unakuta anasema shetani toka,nafunga anga la wachawi,hirizi,misukule nk kweli!!.
Mara wenye 50000,30000,20000,10000,5000 njoo madhabahuni,wafungu la kumi,wa shukrani.hapa kina kajambanani hakuna buku2 wala buku hakuna.
Kwakweli hali hii watashindwa kununuwa range rover,prado,nk majumba ya fahari?Waumini wao wanakuwa hoi lakini wao wananeemeka.
Mungu awalani kama wanawaibia watu,lakini kama wanamuhubiri yeye muumba wa mbingu na wabarikiwe.