Mungu awabariki sana wanawake wa dizaini hii....

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,046
Mungu awabariki sana na kuwajalia maisha marefu kwa wanawake wote ambao pale wapenzi/waume zenu pindi tunapochelewa rudi home hamlali mnakaa sebleni mkitusubiri mpaka turudi.

Sometimes unakuta hadi usingizi unakupitia unalala kwenye coach, nyie mna sehemu yenu spesho mbinguni na mirinda nyeusi mtakunywa. AMEN
IMG_1501.jpg
 
Mungu awabariki sana na kuwajalia maisha marefu kwa wanawake wote ambao pale wapenzi/waume zenu pindi tunapochelewa rudi home hamlali mnakaa sebleni mkitusubiri mpaka turudi.

Sometimes unakuta hadi usingizi unakupitia unalala kwenye coach, nyie mna sehemu yenu spesho mbinguni na mirinda nyeusi mtakunywa. AMEN View attachment 1729803

Ngoja niitikie Amen kwa niaba yao maana sidhani kama wapo
 
Aisee mi mke wangu mpaka leo ananisubiri. Miaka 10+ kwenye ndoa.

Mimi ndio chanzo maana naapa kwa miungu na mizimu ya kwetu mke wangu ni mke bora sana na alikua loyal sana nakumbuka hadi tunafika mwaka wa6 kwenye ndoa sikuwahi onja dhiki na mabalaa ya ndoa ila tabia yangu ya kuchepuka iliniponza hadi kupelekea kuzalisha nje ya ndoa ndio chanzo.
 
Mungu awabariki sana na kuwajalia maisha marefu kwa wanawake wote ambao pale wapenzi/waume zenu pindi tunapochelewa rudi home hamlali mnakaa sebleni mkitusubiri mpaka turudi.

Sometimes unakuta hadi usingizi unakupitia unalala kwenye coach, nyie mna sehemu yenu spesho mbinguni na mirinda nyeusi mtakunywa. AMEN View attachment 1729803
Umesema kweli, sisi wengine wake zetu huwa hawali mpaka tufike tule nao,mpaka kuna muda huwa tunawaambia "Swahiba wewe upige tu msosi, nachelewa kurudi". Kuoa raha sana asikwambie mtu, tena umuoe unaye mpenda na yeye anakupenda.
 
Back
Top Bottom