Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 734
- 2,272
kabaka Mama yake mdogoKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Mrs sabaya mumeo yuko anarusha ndege kisongo bdo j3 anapanda kizimbani kilimanjaro n kusomewa mashtaka yake mengine,akimaliza anapelekwa manyara,dom,dar kote huko anakesi za kujibuKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Anapanda kizimbani j3 kili,then manyara j5,dom na dar tuhuma karibia bukuBenki gani?. Bahati mbaya huyo Jambazi wako watu waliwekwa ushahidi subiri kesi ianze.
i stand against sabayaKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Peleka ujinga wako kwa mmeo!!Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Kumbe na wewe ni mjinga kiasi hiki!! Nilikuwa nakusaport kwenye mada zako, kumbe ni lipompoma!Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
Hili mataga ni bwabwa kama mabwabwa mengineKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Huyu ni mjinga mkuu, achana nae, ndio maana ameshindwa hata kujiajiri akisubiri ajiriwe. shida ni ujinga ndio umemjaa!Ona hili taga lililopotelewa na ubongo [emoji3064][emoji3064]
Mnajifanya kupinga ushoga huku mnamsapoti anayelawiti?Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Nakuvulia kofia kwa uongo na unabii wa uongo uliotukuka.Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Yaani kwa trendi zilizopo, kumpata mwingine dizaini ya Magu, mtasubiri sana. Na kama unaona Sabaya ni jembe, sawa tu. Kuota ndoto ni haki yakoKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Kwa kweli jamaa yuko vizuri katika unabii uliopindaNakuvulia kofia kwa uongo na unabii wa uongo uliotukuka.
KWA tahalifa YAKO sie ,ambao mungu anatutumia KWA mapenzi yake mwenyewe bila kulazimisha ,moyoni tunayajua mengi juu ya mwendazake, mpende kesha ukimuombea ili alipo apunguziwe alichostahili,au awe mahali pema ,inatosha,Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Na ndiyo maana Covid ikaamua kumfutilia mbaliHakuna awamu watu wasio na hatia walifanyiwa unyama WA kulawitiwa kama awamu ya tano. Magufuli aliyajua alivyokuwa akifanya Sabaya lakini hakuchukua hatua. Tulikuwa na Rais WA ajabu Sana.
Ulivyokuwa ukishiriki nae vitendo ovu ulitarajia kuvuna nini Mkuu au teknolojia ulidhani haitaumbua "washamba?" Isijekuwa ni majambazi haohao ndio walimrushia TL risasi pale Dodoma...Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.