Mungu atabaki kuwa Mungu

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
476
Tumepoteza vingi wakati tunachagua vilivyo bora,

Tumeumia sana wakati tunaitafuta furaha,πŸ’”πŸ’”

Kuna waliotuacha na kutukataa kwasababu tulionekana hatuendani nao kwasababu hawajui tunachopitia πŸ˜­πŸ˜­πŸ’” tena kwasababu ya roho zetu nyepesi zilizojaa upendo walituona wajinga na kutusaliti πŸ’”πŸ’”πŸ˜­πŸ˜­

Licha ya vikwazo vyote bado tumesimama na kuendelea mbele bila wasiwasi kwa maan MUNGU atabaki kuwa MUNGU kwenye maisha yetuπŸ™πŸ™
 
Ooh jamani,pole cute.Kaza mtu sahihi yupo .....afu kuumia ni sehemu ya maisha....usijemlaumu MTU maana nae ana haki ya kufanya machaguzi kama ufanyavyo......tujifunze kukua kimahusiano......Mungu mwema.πŸ™
 
ule Mungu mwenye naomba
 
Attachments

  • facebook_1701176556127.mp4
    1.3 MB
Damn, I can feel your tone!
your very blue as you write these, sorry...may bless of GOD be unto you
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…