Mungu apewe sifa

Goku 255

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
465
Reaction score
897
Ni siku nyingine tumeiona tukiwa wazima. sio kama tumetenda mema bali nikwa mapenzi yake maulana. Na kuna wengine walitamani kuiona siku ya leo japo kwa bahati mbaya hawakuweza kuiona. Ila wewe ni wa maana umeion siku ya leo chukuwa ata angalau sekunde moja umpe mungu shukrani.
 
Ameni.....

Ila nina swali Kwahiyo Mungu wetu anapenda kusifiwa tu kukosolewa hapendi?

Kama ndo hivyo anatofautiana nini na serkali ya ccm?
 
Ameen🙏🙏
 
Ameen🙏🙏
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…