Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Mnajitia muombe mungu wakati kwenye mapochi na mifuko yenu mmebeba hirizi?
Hivi comlicated maana yake ni nini??,hizi lugha za wenzetu km hatuzijui ni bora kuziacha km zilivyo tu!,na hiyo ID yako inanitia mashaka.Imani ni kitu comlicated sana, hapa kuna ujumbe nimeupata na pia kuna jambo limenichananya.
Umefurahia mbaya wako kuwa chini yako sasa? Sijaelewa kwenye part ya kufukuzwa part na kuja kwako kutafuta kazi.
kimsingi kuna mashaka juu ya uwepo wa mungu!
hiki unachokishangilia kweli wewe unadhani ni uwepo wa mungu? mungu gani huyo uliye naye ambaye unashangilia eti mwenzako kafukuzwa kazi? na haya ndiyo watu wanashuhudia makanisani eti mungu kanitendea muujiza.
leo hii ukibishana na mtu kuhusu mambo ya imani anasema subiri na katika kusema subiri mungu atajidhihirisha anategemea upate matatizo na ndio uje kutambua uwepo wa mungu.
tunaamini mungu ni the creator of everything sasa nguvu ya creation umewahi kuiona wapi? yaani kiumbe aliyetengeneza ulimwengu huu au viumbe vyote leo hii anakuja kumfukuzisha kazi bosi wako anayekuchukia bila wewe kujua sababu? huko ni kusema kiumbe huyo amefilisika. lakini wewe unayeshangilia kufukuzwa kwa mwenzako je atakuacha huru?
ninachotaka kukueleza kuna uwezekano wa imani kutokutoka unakokudhani na kule imani zinakotoka wanatake advantage ya matukio au kuchochea baadhi ya matukio alafu unaletewa mawazo mungu kafanya kazi. kwa logic ya kawaida mungu hawezi kufanya hilo unalolishangilia ila kitu kinaweza kujifanya mungu kikafanya upumbavu ukashangilia na chenyewe kikabaki kinakucheka. kama wengine wanavyodanganywa kuwa ukichinja albino utapata mali basi wanachinja na kinachowadanganya kinabaki kuwacheka.
Elli
Kweli wewe ni Mmawia,ulivyokomment sijui umekula maharage ya wapi???,nadhani yalikuwa yamechacha maana watu wanazungumza habari za Mungu lkn wewe unaleta habari za hirizi hapa wapi na wapi???!!!!!!.
Unataka kutuambia kuwa kwa kusali kwako ndio kulisababisha huyo boss wako afukuzwe kazi? Kama jibu ni ndiyo,hizo sala bado unaziona kuwa ni kimbilio kwa watu wote wenye kuamini?
kimsingi kuna mashaka juu ya uwepo wa mungu!
hiki unachokishangilia kweli wewe unadhani ni uwepo wa mungu? mungu gani huyo uliye naye ambaye unashangilia eti mwenzako kafukuzwa kazi? na haya ndiyo watu wanashuhudia makanisani eti mungu kanitendea muujiza.
leo hii ukibishana na mtu kuhusu mambo ya imani anasema subiri na katika kusema subiri mungu atajidhihirisha anategemea upate matatizo na ndio uje kutambua uwepo wa mungu.
tunaamini mungu ni the creator of everything sasa nguvu ya creation umewahi kuiona wapi? yaani kiumbe aliyetengeneza ulimwengu huu au viumbe vyote leo hii anakuja kumfukuzisha kazi bosi wako anayekuchukia bila wewe kujua sababu? huko ni kusema kiumbe huyo amefilisika. lakini wewe unayeshangilia kufukuzwa kwa mwenzako je atakuacha huru?
ninachotaka kukueleza kuna uwezekano wa imani kutokutoka unakokudhani na kule imani zinakotoka wanatake advantage ya matukio au kuchochea baadhi ya matukio alafu unaletewa mawazo mungu kafanya kazi. kwa logic ya kawaida mungu hawezi kufanya hilo unalolishangilia ila kitu kinaweza kujifanya mungu kikafanya upumbavu ukashangilia na chenyewe kikabaki kinakucheka. kama wengine wanavyodanganywa kuwa ukichinja albino utapata mali basi wanachinja na kinachowadanganya kinabaki kuwacheka.
Elli
Pole sana mkuu na ndiyo maana sitaki makazi ya kuajiriwa haukuna itakayo kupa amani ya moyo kabisa.
Ok..Kwa hiyo unataka sema na kwa sala zako ndiyo ziliyopelekea huyo mama mpaka kufukuzwa kazi?
kimsingi kuna mashaka juu ya uwepo wa mungu!
hiki unachokishangilia kweli wewe unadhani ni uwepo wa mungu? mungu gani huyo uliye naye ambaye unashangilia eti mwenzako kafukuzwa kazi? na haya ndiyo watu wanashuhudia makanisani eti mungu kanitendea muujiza.
leo hii ukibishana na mtu kuhusu mambo ya imani anasema subiri na katika kusema subiri mungu atajidhihirisha anategemea upate matatizo na ndio uje kutambua uwepo wa mungu.
tunaamini mungu ni the creator of everything sasa nguvu ya creation umewahi kuiona wapi? yaani kiumbe aliyetengeneza ulimwengu huu au viumbe vyote leo hii anakuja kumfukuzisha kazi bosi wako anayekuchukia bila wewe kujua sababu? huko ni kusema kiumbe huyo amefilisika. lakini wewe unayeshangilia kufukuzwa kwa mwenzako je atakuacha huru?
ninachotaka kukueleza kuna uwezekano wa imani kutokutoka unakokudhani na kule imani zinakotoka wanatake advantage ya matukio au kuchochea baadhi ya matukio alafu unaletewa mawazo mungu kafanya kazi. kwa logic ya kawaida mungu hawezi kufanya hilo unalolishangilia ila kitu kinaweza kujifanya mungu kikafanya upumbavu ukashangilia na chenyewe kikabaki kinakucheka. kama wengine wanavyodanganywa kuwa ukichinja albino utapata mali basi wanachinja na kinachowadanganya kinabaki kuwacheka.
Elli
Wewe mwenyewe hapo una hirizi
Hivi comlicated maana yake ni nini??,hizi lugha za wenzetu km hatuzijui ni bora kuziacha km zilivyo tu!,na hiyo ID yako inanitia mashaka.
Kwa hiyo????
Haujamwelewa mleta mada umesoma juu juu ukaanza kudhihirisha UPUMBAVU wako. Zaburi 14:1 "MPUMVAVU ASEMA MOYONI HAKUNA MUNGU......"
Haya kajiandikishe kupiga kura.