Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
- Thread starter
-
- #21
Mpwa wewe ndio umenielewa, naona kuna watu wanasema eti nimefurahi eti Boss wangu kufukuzwa kazi, asante kwa kunielewa kuwa sikuzote niliomba kuwa na AMANi na Boss wangu na sikuwahi kumuombea mabayaMaombi mazuri sana hayo, hata mimi niko namwomba Mungu nikifanya MAOMBI ya kusaka AMANI. nimekataa kufanya maombi ya kulipiza kisasi yaani maombi ya kuombeana mabaya.
Kama wabongo wengi walivyo. AMANI kwanza.
kimsingi kuna mashaka juu ya uwepo wa mungu!
hiki unachokishangilia kweli wewe unadhani ni uwepo wa mungu? mungu gani huyo uliye naye ambaye unashangilia eti mwenzako kafukuzwa kazi? na haya ndiyo watu wanashuhudia makanisani eti mungu kanitendea muujiza.
leo hii ukibishana na mtu kuhusu mambo ya imani anasema subiri na katika kusema subiri mungu atajidhihirisha anategemea upate matatizo na ndio uje kutambua uwepo wa mungu.
tunaamini mungu ni the creator of everything sasa nguvu ya creation umewahi kuiona wapi? yaani kiumbe aliyetengeneza ulimwengu huu au viumbe vyote leo hii anakuja kumfukuzisha kazi bosi wako anayekuchukia bila wewe kujua sababu? huko ni kusema kiumbe huyo amefilisika. lakini wewe unayeshangilia kufukuzwa kwa mwenzako je atakuacha huru?
ninachotaka kukueleza kuna uwezekano wa imani kutokutoka unakokudhani na kule imani zinakotoka wanatake advantage ya matukio au kuchochea baadhi ya matukio alafu unaletewa mawazo mungu kafanya kazi. kwa logic ya kawaida mungu hawezi kufanya hilo unalolishangilia ila kitu kinaweza kujifanya mungu kikafanya upumbavu ukashangilia na chenyewe kikabaki kinakucheka. kama wengine wanavyodanganywa kuwa ukichinja albino utapata mali basi wanachinja na kinachowadanganya kinabaki kuwacheka.
Na wewe pia umenielewa vizuri sana, nilichkiomba ni kuwa na amani, sasa nashangaa baadhi yetu hawasomi wakifika kati kati au mistari miwili tu wanakimbilia kutoa mahitimisho. Thanks
Ndio changamoto za dunia mkuu,ila sijakuelewa uliposema Mungu kajibu Maombi. Unamaanisha ulikuwa ukiomba huyo bosi wako afukuzwe kazi ama?
jAMANI WAZEE NA VIJANA WENZANGU, TUJIFUNZE KUSOMA NA KUELEWA, HAKUNA MAHALI NIEMADNIKA KUWA NIMEFURAHI KUWA AMEFUKUZWA KAZI, NIMESEMA HATIMAE TUMEWEZA KUONGEA! HATIMAE AMENIONA NA MIMI KUWA MTU. Tujifunze kusoma kabla ya kukimbilia ku-comment
Imani ni kitu comlicated sana, hapa kuna ujumbe nimeupata na pia kuna jambo limenichananya.
Umefurahia mbaya wako kuwa chini yako sasa? Sijaelewa kwenye part ya kufukuzwa part na kuja kwako kutafuta kazi.
Duuuu,wewe kweli kiboko upo sehemu zoote?
Na wewe pia umenielewa vizuri sana, nilichkiomba ni kuwa na amani, sasa nashangaa baadhi yetu hawasomi wakifika kati kati au mistari miwili tu wanakimbilia kutoa mahitimisho. Thanks
Mkuu, tuliza kichwa nielewe, mimi nimesuport mleta mada ya kuwa kweli mungu yupo na anajibu. wewe na akili zako hizo ukadakia mambo ya hirizi... nikajibu ni kweli kama huna mungu wa hirizi watakupata tu. sasa nakuwaje sehemu zote? soma vizuri na elewa mada. usicheze na moto ulao.. neno la mungu ni moto.
kuwa mkweli na ukweli huo ndio wa kukusaidia.
sio lazima useme nimefurahi ila katika mtiririko wa ujumbe wako mtu anaona ujumbe wako ni nini?
labda nikuulize kwa nini umeweka kufukuzwa kwake kazi katika mtiririko wa ushuhuda wako? hapo bila shaka linaonyesha ni jambo gani limembadilisha na bila kuuuliza mtu anatambua kuwa unadhani jambo hilo limefanywa na huyo unayedhani nimungu wako na ndilo lililombadilisha.
Duuuu,wewe kweli kiboko upo sehemu zoote?
Hhahahhahahaaaa ni kweli kabisa, I wish at least watu watano tu wanielewe, the rest waache waendelee kupiga kelelendugu yangu hii post yako watu wa humu hawatakuelewa kwani tuko differ
naondoka online kdg....ningekua na angalau dk. 5 nadhan tungeeleweshana......kijana mtoa mada barikiwa sana kwa moyo wako wenye uvumilivu mwingi na upendo......my GOD bless you..
Huo moto utakuchoma wewe unaye ukumbatia
nakupa pole, mungu akusaidie kuelewa hicho unachosema.
Husijidanganye kabisa nyinyi ndio manabii wa uwongo.