Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,275
Mmh fundi kajitahidi hilo gauni
Moshi kuna watoto asikwambie mtu ila tatizo nadhani hawafurahii wanaume wanaowazunguka pale moshi! Uwe umetokea Dar au Arusha utagombaniwa hutaamini!
hao unaowazungumzia ni wa zamani sana sio wa siku hiziTatzo ukiingia sita kwa sita hamna kitu utasikia tu yesuuu weweee aiseee!! Baba kimarioo maliza haraka nataka niende kwamama mosha nikachukue hela yangu aisee