Mungu aliruhusu Polepole aingie Segerea na msafara wake kwasababu alijua binadamu walipanga kufanya nini baadae kwa wafuasi wa CHADEMA hapo Segerea

Ukatili wamakaburu Natal Afrika Kusini na Uhuni wa Segerea ni ligi moja. Sioni tofauti.
1584781902232.png
 
Mkuu tindo hawa watu kwa sasa wameishiwa maarifa. Hawajui mlango wa kuingia wala wa kutokea. Hawakuamini macho yao kwa Chadema bado kina wafuasi lukuki pamoja na mateso yote kwa miaka minne. Mungu ibariki Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyonge wenye haki wanawafuasi kuliko wenyenguvu wasio wa haki. Ndio maana udikteta upo leo na hauko kesho. ( mfano:Idd Amin, Mobotu, Bokassa..)
 
Shetani huwa haondolewi na kuuwawa Bali anapingwa . upinzani ni falsafa ya wewe kung'aa . kama ukiutumia ipasavyo . Si kuuondoa , Yesu na shetani huwa wanashindana kwa hoja si kwa wao kuuwana , kwani kila mmoja atajihukumu kwa matendo yake .

Yesu alipigana vita vya Pendo ,yaani alifia watu msalabani . shetani hawezi kufia mtu msalabani . Haihitaji elimu kujua nani alishinda katika hiyo battle .

chadema ni mpinzani wa ccm , lakini ccm akikaa vizuri na kujipanga kwa hoja chadema itamuinua ccm pasipo kujua . CCM nao wakikaa vibaya watamuhubiri chadema pasipo kujua na kumpaisha katika viwango .

siasa ya kikwete na mkapa ndiyo iliwaangusha chadema . siasa ya mkuu wa leo itawapaisha chadema . ccm waangalie sana huu mtego .

sasa hivi nyumba nyingi za ibada wachungaji wanagusia kuonewa kwa mbowe .

CCM iache porojo ,yenyewe kama inaweza kutuifia , basi tuone. isitumie muda mwingi kumuondoa mwenzako ,ambaye naye anataka kujua ulifanya nini .
 
Jifunze kujadiliana kwa Lugha za Staha Mkuu ,huu ni Mjadala Huru na kwa Watu wastaarabu na sio kama ulivyo fanya hapa.
ni sawa ulivyolalamika nimekuelewa,nami nilijaribu kukuumiza kidogo kwa sababu umejaribu kunifufulia wazazi.
 
"Tulipofika Gereza la Segerea hatukuruhusiwa kuingia ndani, Askari Magereza walitufukuza kwa maneno ya matusi, kashfa na kutuambia kuwa 'walikuwa wametupania sana hasa mimi na Halima Mdee, kwamba tuliwahi kuondoka na walipanga kututesa sana'"
Rudieni tena, ndiyo maana mnashindwa kudumu kwenye ndoa. Ndiyo maana mlipelekwa JKT kujifunza nidhamu na matumizi ya nidhamu kila Mahala unapokuwa.
Eneo la Jeshi unaanza kulazimisha ya kwako badala ya kufuata utaratibu ulioukuta.
 
Naomba nianze kwa kusema maneno haya ninayoyaamini mimi kama mimi:

"CHADEMA kwa watanzania ni mpango wa Mungu kama alivyokuwa Mussa kwa wana wa Israel".

Nimeanza na maneno hayo kuwatahadharisha wale wote wanaofikiri wanapambana na CHADEMA kumbe wanapambana na nguvu za Mungu anaeitumia CHADEMA kuwakomboa watanzania kutoka katika tawala za CCM.

Ukweli huu ni sababu kwanini hata ile kauli ya JK kuwa vyama vya upinzani(akiilenga CHADEMA) kuwa ni vyama vya msimu ilikuifa kifo cha Mende na hata huyu wa sasa anaetuhumiwa kutaka kuua upinzani na ususa CHADEMA, atafeli na huenda akaja kujikuta anawakabidhi ofisi.

Na kwa msingi huo huo wa CHADEMA kuwa ni mpango wa Mungu, ndio maana Mungu aliruhusu Polepole aingie pale Segerea na msafara wake kwani alijuia ni nini kingetokea baada ya pale ili Dunia ione doublestandard ya vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama.

Si hivyo tu,hata mtu kutamka kuwa tunatumia dola kubaki madarakani ni mpango wa Mungu kuwaumbua hawa watu na ndio maana kauli ile kwa sasa ni kama inatekelezwa kwa vitendo(Mungu kawanyima maarifa ili waumbuke na hatimae waanguke).

Mnaofikiri CHADEMA itakufa kwa kuhujumiwa kwa miaka karibu mitano sasa,mjue mtaishia kuumbuka hasa pale mtapokuja kushuhudia CHADEMA inakamata dola na Mungu atawaweka hai ili mje mshuhudie jambo hili likitimia.

Narudia,CHADEMA ni chama teule na ndio maana hakiyumbi,hakifi na zaid ndio maana wale wotei wanaotaka kukihujumu wao ndio kila siku wanaumbuka kwa kauli na matendo yao wenyewe.

Haya mnayoshuhudia leo Mungu kayuruhusu akiwa na makusudi yake na hawa kina Lissu,Mbowe,Mdee,Heche,Msigwa na wengineo wameteuliwa tu kutumika kukamilisha mipango ya Mungu ambayo sisi binadamu hatuwezi kuitambua kwa sasa.
View attachment 1389675

View attachment 1389676

View attachment 1389677

View attachment 1389684
Uwanja huu ulichafuka siku Mh.Mbowe anatoka jela na kuwa uwanja wa maangamizi ya akina Mh.Mdee,Mh.Bulaya na wenzao.
 
Back
Top Bottom