Mungu alimtumia Hayati Magufuli kulivusha taifa la Tanzania

Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingeelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini?

Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu wanakuja kuponda miradi ya ndege, SGR, Bwawa la mwl Nyerere je vipi kama angeisaini tu na kufariki dunia hao wapondaji wangesema nini?
Kama kweli hiyo miradi haina faida kama wapondaji wanavyosema mbona sasa tunaendelea kuijenga?

Vipi kama Magufuli angefariki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 si Chadema wangezusha kwamba Magufuli amekimbia kipigo cha Tundu Lisu kwenye sanduku la kura?

Leo Corona imepuuzwa duniani kote na sasa wananchi wote wanafuata falsafa za hayati Magufuli lakini bado kuna baadhi ya CHADEMA wanashupaza shingo na kupuuza misimamo ya Magufuli, je ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kama Corona ingeingia Tanzania tukiwa hatuna Magufuli?

Unajua bila Magufuli Tanzania ingetumia miaka mingapi kuingia kwenye nchi zenye uchumi wa kati?

Hali ya makao makuu ya nchi yetu Dodoma ingekuwaje?

Wanafunzi wa UDSM wangeendelea kupanga mitaani kwa sababu hosteli za Magufuli zisingekuwepo?

Foleni ya ubungo mataa ingekuwaje maana tusingekuwa na flyover?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Itoshe tu kusema hivyo. Basi.
 
Baba wa taifa gani mwizi ,kibaka, mporaji wa mali za umma, mbinafsi hasiyekuwa na uchungu na wananchi wake!!!! Baba wataifa ni mmoja tu, nyerere pamoja kuwa ndo rais aliyeongoza muda mrefu lakini hakuna mautoko yoyote ya wizi aliyoyafanya kama huyo bwana wako mbwa nyie.
JK angekuwa mbinafsi angekuwa katili na roho mbaya kama baba yako Mwendazake.

Kwa roho yake mbaya ndio maana amewahi Kazi ya kiongozi wa malaika 🏃🏃
 
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingeelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini?

Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu wanakuja kuponda miradi ya ndege, SGR, Bwawa la mwl Nyerere je vipi kama angeisaini tu na kufariki dunia hao wapondaji wangesema nini?
Kama kweli hiyo miradi haina faida kama wapondaji wanavyosema mbona sasa tunaendelea kuijenga?

Vipi kama Magufuli angefariki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 si Chadema wangezusha kwamba Magufuli amekimbia kipigo cha Tundu Lisu kwenye sanduku la kura?

Leo Corona imepuuzwa duniani kote na sasa wananchi wote wanafuata falsafa za hayati Magufuli lakini bado kuna baadhi ya CHADEMA wanashupaza shingo na kupuuza misimamo ya Magufuli, je ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kama Corona ingeingia Tanzania tukiwa hatuna Magufuli?

Unajua bila Magufuli Tanzania ingetumia miaka mingapi kuingia kwenye nchi zenye uchumi wa kati?

Hali ya makao makuu ya nchi yetu Dodoma ingekuwaje?

Wanafunzi wa UDSM wangeendelea kupanga mitaani kwa sababu hosteli za Magufuli zisingekuwepo?

Foleni ya ubungo mataa ingekuwaje maana tusingekuwa na flyover?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
Kulivusha kwa Kumpiga Risasi Tundu lissu?
Kulivusha kwa kuzuia Mikutano ya Wapinzani?
 
Kulivusha kutoka wapi kwenda wapi? Mbona mimi naona Miaka 6 tulirudi nyuma kwenye uchumi, mahusiano ya kimataifa na mshukuru wa Kitaifa? Hisia za chuki na ukanda/ ukabila ziliibuka kwa Kasi?

Bora alivyomchukua akaongoze malaika maana tungekuwa kama Zimbabwe .
JPM hakutaka tujipendekeze kwa nchi za nje alitaka tufuatwe, na njia aliyokuwa akiifanya ni kutengeneza Taifa bora kwa kutengeneza miundombinu mbalimbali
 
Ni heshima kuu kutambua hisia za kila mmoja bila kujali itikadi na imani za wahusima.

Adolf Hitler pamoja na kuwa kiongozi anaejulikana kuwa mbaya kupita wote kwa muda wote wapo watu wanamuona alikuwa kiongozi bora na wana hoja nzuri sana.

Basi nami niseme tu tuheshimu hisia zako kali juu ya Hayati Magufuli.
Hitler aliitengeneza Ujerumani yenye nguvu na watu wakakamavu
 
JPM hakutaka tujipendekeze kwa nchi za nje alitaka tufuatwe, na njia aliyokuwa akiifanya ni kutengeneza Taifa bora kwa kutengeneza miundombinu mbalimbali
Ufuatwe una nini cha maana ambacho wengine hawana?

Wewe kwenye familia yako ukiwa na litoto lenye kiburi kama Mwendazake utaona fahari? Stupid ..

Miundombinu mbinu gani miaka 6 hakuna alichomaliza kwa sababu hakuwa na akili anashika hiki anashika kile yaani ilimradi kutafuta sifa za kijinga.

Mbona saizi hatujipendekezi ila tunatafuta fursa na wakiziona wanakuja tunakaa mezani.

Mapato yanaongezeka bila kupora mtu,shida yenu hamna akili ila mna tumia nguvu nyingi kama nyati,tumia nguvu kiasi na akili nyingi kama Simba.
 
Alipata ajali ya kukutana na wapambe kama Mawazo pia ila wahusika walifikishwa kortini.

Sasa lile li rundi lilikuwa linaua na kutupa watu kwenye viroba baharini.
Na hilo la kuuwa watu mlifanya nyinyi na baba yenu ili tu kuleta taharuki kwa wananchi na mpaka sasa ukiongea kidogo kuhusu magufuli mnakuja na hoja za watu wengi waliuliwa na jpm , mkiambiwa mtaje hao watu wengi aliowaua magufuli utasikia ben sanane na mawazo, soon ukweli utajulikana damu ya watanzania inawalilia wauwaji nyie.
 
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingeelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini?

Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu wanakuja kuponda miradi ya ndege, SGR, Bwawa la mwl Nyerere je vipi kama angeisaini tu na kufariki dunia hao wapondaji wangesema nini?
Kama kweli hiyo miradi haina faida kama wapondaji wanavyosema mbona sasa tunaendelea kuijenga?

Vipi kama Magufuli angefariki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 si Chadema wangezusha kwamba Magufuli amekimbia kipigo cha Tundu Lisu kwenye sanduku la kura?

Leo Corona imepuuzwa duniani kote na sasa wananchi wote wanafuata falsafa za hayati Magufuli lakini bado kuna baadhi ya CHADEMA wanashupaza shingo na kupuuza misimamo ya Magufuli, je ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kama Corona ingeingia Tanzania tukiwa hatuna Magufuli?

Unajua bila Magufuli Tanzania ingetumia miaka mingapi kuingia kwenye nchi zenye uchumi wa kati?

Hali ya makao makuu ya nchi yetu Dodoma ingekuwaje?

Wanafunzi wa UDSM wangeendelea kupanga mitaani kwa sababu hosteli za Magufuli zisingekuwepo?

Foleni ya ubungo mataa ingekuwaje maana tusingekuwa na flyover?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
Nakuunga mkono ndugu yangu lengo la Mwenyezi Mungu kutuletea Magufuli ni zuri ametuonyesha pia Tanzania tunahitaji rais wa aina gani?
 
Ufuatwe una nini cha maana ambacho wengine hawana?

Wewe kwenye familia yako ukiwa na litoto lenye kiburi kama Mwendazake utaona fahari? Stupid ..

Miundombinu mbinu gani miaka 6 hakuna alichomaliza kwa sababu hakuwa na akili anashika hiki anashika kile yaani ilimradi kutafuta sifa za kijinga.

Mbona saizi hatujipendekezi ila tunatafuta fursa na wakiziona wanakuja tunakaa mezani.

Mapato yanaongezeka bila kupora mtu,shida yenu hamna akili ila mna tumia nguvu nyingi kama nyati,tumia nguvu kiasi na akili nyingi kama Simba.
Na unavyo tuletea story zako kuwa kwa samia wawekezaji wameongezeka, hao wawekezaji wamefata nini cha maana ambacho kwa jpm hakikuwepo? Mmekali wizi tu mbwa nyie
 
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingeelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?

Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa urais kingetokea nini?

Kama leo baada ya hayati Magufuli kukaa madarakani kwa miaka 6 kuna watu wanakuja kuponda miradi ya ndege, SGR, Bwawa la mwl Nyerere je vipi kama angeisaini tu na kufariki dunia hao wapondaji wangesema nini?
Kama kweli hiyo miradi haina faida kama wapondaji wanavyosema mbona sasa tunaendelea kuijenga?

Vipi kama Magufuli angefariki kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 si Chadema wangezusha kwamba Magufuli amekimbia kipigo cha Tundu Lisu kwenye sanduku la kura?

Leo Corona imepuuzwa duniani kote na sasa wananchi wote wanafuata falsafa za hayati Magufuli lakini bado kuna baadhi ya CHADEMA wanashupaza shingo na kupuuza misimamo ya Magufuli, je ulishawahi kujiuliza ingekuwaje kama Corona ingeingia Tanzania tukiwa hatuna Magufuli?

Unajua bila Magufuli Tanzania ingetumia miaka mingapi kuingia kwenye nchi zenye uchumi wa kati?

Hali ya makao makuu ya nchi yetu Dodoma ingekuwaje?

Wanafunzi wa UDSM wangeendelea kupanga mitaani kwa sababu hosteli za Magufuli zisingekuwepo?

Foleni ya ubungo mataa ingekuwaje maana tusingekuwa na flyover?

Mungu alimtuma Magufuli kutuvusha kisha akamchukua na kwenda zake
Vyeti feki, wala rushwa, mafisadi, wapiga madili, wadhulumaji, timu gaidi watakuja kukupinga na kukutukana huu uzi unawachoma
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ufuatwe una nini cha maana ambacho wengine hawana?

Wewe kwenye familia yako ukiwa na litoto lenye kiburi kama Mwendazake utaona fahari? Stupid ..

Miundombinu mbinu gani miaka 6 hakuna alichomaliza kwa sababu hakuwa na akili anashika hiki anashika kile yaani ilimradi kutafuta sifa za kijinga.

Mbona saizi hatujipendekezi ila tunatafuta fursa na wakiziona wanakuja tunakaa mezani.

Mapato yanaongezeka bila kupora mtu,shida yenu hamna akili ila mna tumia nguvu nyingi kama nyati,tumia nguvu kiasi na akili nyingi kama Simba.
Hii mikopo tunayoililia kwa wahisani ndio kujipendekeza kwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom