Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Nani huyoAnataka aje ili aendelee kumjaza ujinga.
Watu dizaini yako lazima mgetokea katika huu uzi! We mtu ameshajielezea kutokana na imani yake, pia bado tu unataka kuleta ubishi na akasisitiza wadau tumuombee kila mmoja kwa imani yake so we kama unaona hicho unachoamini ndo sahihi muombee.Sasa unayemsifu hapa kwa kukutendea hayo ni Mungu au adui yako namba moja?
Uchawi wa Mwarabu na Mzungu haukutuacha salama kabisa! Zamani mababu zetu walikemea matatizo ya asili kwa vitendo, sisi leo tumeyaona kama ni zawadi nzuri kutoka kwa Mungu mwenye upendo 🤔
Kiranga akiiona hii ataishia kutikisa kichwa
@Kiranga akiiona hii ataishia kutikisa kichw
Enthusiasts mna matatizo sana yeye anaamini katika MUNGU MMOJA ni kama wewe unavoamini kua una maarifa mapana katika kufikiri japo ukiambiwa yalete hayo maarifa tuyaone kamwe hutofanya hivoSasa unayemsifu hapa kwa kukutendea hayo ni Mungu au adui yako namba moja?
Uchawi wa Mwarabu na Mzungu haukutuacha salama kabisa! Zamani mababu zetu walikemea matatizo ya asili kwa vitendo, sisi leo tumeyaona kama ni zawadi nzuri kutoka kwa Mungu mwenye upendo 🤔
Kiranga akiiona hii ataishia kutikisa kichwa
Anaweza kupita hapa pia sababu kizazi hiki dunia imo kiganjaniHuyo mwenzako yupo Marekani (under lockdown) battling for alcoholism. Kwa mujibu wa kauli yake.
Anaweza kupita hapa pia sababu kizazi hiki dunia imo kiganjani