Mume wetu ameingia mume wetuuuuuuuu huyoo ameingia mume wetu ameingiaaaaa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,289
22,594
Najua wahisi pdidy kachanganyiki wa la hasha

nilijua siasa ni mbaya sana lakini nahisi leo nimejua
ushabiki ni anasa kubwa duniani pale wanaume wasipokuwa na haya wakimkaribisha uwanja
wa ndege wa jnia mchezaji wa simba emmanuel okwi kwa kuimba

""mume wetu huyoo ameingiaaa""mume wetu huyooo ameingia"""mbaya zaidi wanaoimba ni wanaume
na radhi kupita yote kama sio kukaribia kunitoa swaumu yangu bazazi yule alipoanza kukatika mbele ya emmanuel okwi

loh simba mnawashabiki vichaa??
 
Mizuka tu hiyo ya msimazi usiogope muulize Boflo!!Jangwani ni zaidi ya hapo hata vifaranga alisikika jana akidare kwa yanga!!
 
Last edited by a moderator:
Najua wahisi pdidy kachanganyiki wa la hasha

nilijua siasa ni mbaya sana lakini nahisi leo nimejua
ushabiki ni anasa kubwa duniani pale wanaume wasipokuwa na haya wakimkaribisha uwanja
wa ndege wa jnia mchezaji wa simba emmanuel okwi kwa kuimba

""mume wetu huyoo ameingiaaa""mume wetu huyooo ameingia"""mbaya zaidi wanaoimba ni wanaume
na radhi kupita yote kama sio kukaribia kunitoa swaumu yangu bazazi yule alipoanza kukatika mbele ya emmanuel okwi

loh simba mnawashabiki vichaa??[/QUOTE]

Lol..,si vichaa bali ni masho*a ila sio wote!!
 
Kwa kawaida mashabiki huwa hawaoni wala hawasikii, ni kama sikio la Kufa....

Angalia mashabiki wa Kisiasa hata Kama Chama Kitaua watu bado tu watakifagilia, kwenye Chongo wao wataona Kengeza!!

Pdidy, ushabiki ukizidi unakuwa kama maiti huna aibu tena!
 
Binafsi nimefurahi sana kuskia Okwi amerudi Simba,ni wakati muafaka wa watu kuthibitisha kuwa Okwi siye MUNGU atakayeiwezesha Simba kufanya maajabu,ngoja wakati uwadie.
 
Najua wahisi pdidy kachanganyiki wa la hasha

nilijua siasa ni mbaya sana lakini nahisi leo nimejua
ushabiki ni anasa kubwa duniani pale wanaume wasipokuwa na haya wakimkaribisha uwanja
wa ndege wa jnia mchezaji wa simba emmanuel okwi kwa kuimba

""mume wetu huyoo ameingiaaa""mume wetu huyooo ameingia"""mbaya zaidi wanaoimba ni wanaume
na radhi kupita yote kama sio kukaribia kunitoa swaumu yangu bazazi yule alipoanza kukatika mbele ya emmanuel okwi

loh simba mnawashabiki vichaa??
Kweli naona ni mume wao aka baba watoto wao.teh teh teh....
 
ndio maana Yanga kauli mbiu yao ni ''DAIMA MBELE...NYUMA MWIKO''.
We unafkiri kauli hiyo inamaanisha nini?
 
Nimekutana nao hao Simba airport basi nikajiuliza "hiki kitimu cha shule gani?" maana lishe ndogo, watu wamechokaaa. Kuja kushtuka naambiwa hao ndo Simba Sports Club timu yenye historia kubwa Tanzania.

Nikaelewa kwa nini tunafungwafungwa kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom