Mume wangu ni mlevi sana

Mume wangu ni mlevi sana

bebiii

Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
21
Reaction score
5
Habari zenu wana JamiiForums, mimi ni mgeni humu ndani naombeni ushirikiani wenu nina rafiki yangu ameolewa na ana watoto watatu, tatizo lake mme wake amekuwa mlevi sana kiasi kwamba hata akitoka kazini anapitia bar anarudi nyumbani akiwa amelewa.

Siku za weekend ndio kabisa anarudi saa kumi za usiku wakati mwingine saa kumi na mbili za asubuhi, akimuuliza anamjibu kwa dharau nakumwambia yeye hatakaa abadilike hivyo ndo tabia yake, na kama anaona awezi aondoke.

Jamani huyu rafiki yangu amechanganyikiwa hajui afanyaje naombeni mumsaidie huyu rafiki yangu jamani.
 
Pole bebiii, jaribu kuangalia marafiki wa huyu "mume wako" jee wao wakoje??
 
Last edited by a moderator:
Akuna chenye mwanzoo kikakosa mwisho. Akazane kumuombea kwa Mungu kwa dhati ataacha wengi mbona wameacha pia azidshe upendo na mapenz kwa mumewe a ahakikishe kutwa mume ni msafi wa kinywa,mwili na mavazi asisahau sokx,

boxa na viatu naavyo vinahitajika usafi wa juu zaid. Iko siku na saa yaja ataacha na wala asiondoke angangani kulea wanawe na ndoa yake. angekuwa malaya na michepuko kibaao angesemaje na watu tunapambana mpk kinaelewekaa...
 
babiii, Mkuu ipo misaada ya aina nyingi !!

1. Mazingira ya mkewe na ya nyumbani ni lazima yabadilike pawepo na peacefull of mind,utulivu na watoto kuwa maridadi !!

2. Maombi Full course, Chakula kizuri chenye harufu ya kuvuti.!!

3. Wawepo watu wakaribu na wakiwemo marafiki wa kazini (anaofanya nao kazi) kumsihii na kumpatia ushauri mwema !!

4. Mkewe amuonyeshe mawazo,michongo ya ujasirimali na kubuni biashara za kuongeza kipato kwa familia !!

Hayo tu, ataweza kugeuza mwelekeo na kujierudi.
 
Amchunguze vizuri huenda hata kale kamchezo kabaya mabazaZi wanamfanyia.

Pombe wanafanya ni cover
 
bebiii

Ndo Nyie,Nyie Mnaovunja Ndoa Za Watu. Walikutuma Uje Kuomba Ushauri Humu? Kama Sio Ndoa Yako Unawashwa Nini.
Acha Choko Choko,Hangaika Na Maisha Yako. Yatakushinda Na Utasutwa Kwenye Siafu!!
 
Last edited by a moderator:
Bebii, yani pamoja na kuja na ID ngeni bado unahisi kama tunakuona?
 
Last edited by a moderator:
Mlevi kawaida yake ni kulala fofofo. Mwambie amvizie siku akilala fofofo avunje yai au anunue ....-15, kisha ampake kunakotokea kinyesi, alowanishe na suruali pande za nyuma, asubuhi awe wakwanza kuamka na kumshtua mumewe, kisha amuonyeshe hayo makitu na kujiliza kwamba mumewe kaingiliwa kunduleni mwake.
Baada ya siku chache akae naye chini, kwa upole na mahaba amsihi aache pombe, huku akikumbushia kisa cha jamaa kuingiliwa. Akiendelea na pombe ujue huyo mume si rizki.
 
huo ulevi kaanza lini ??
kama kamkuta na ulevi wake asilalamike maana alifikiri atabadilika ndani ya ndoa kama kaunza hivi karibuni ni habari nyingine
 
Ndo Nyie,Nyie Mnaovunja Ndoa Za Watu. Walikutuma Uje Kuomba Ushauri Humu? Kama Sio Ndoa Yako Unawashwa Nini.
Acha Choko Choko,Hangaika Na Maisha Yako. Yatakushinda Na Utasutwa Kwenye Siafu!!

Kaniomba ushauri na mm nikaona sio vibaya kutafuta ushauri kwenu
 
huo ulevi kaanza lini ??
kama kamkuta na ulevi wake asilalamike maana alifikiri atabadilika ndani ya ndoa kama kaunza hivi karibuni ni habari nyingine

Kabla ya kuoana alikua anaku nywa illa sio kama sasaivi na mapenzi yalikuepo sasaivi ana mapenzi naye kabisa yeye na pombe pombe na yeye
 
Habari zenu wana jamii form, mimi ni mgeni umu ndani naombeni ushirikiani wenu
Nnarafiki yangu ameolewa na anawatoto watatu, tatizo lake mumewake amekua mlevi sana kiasi kwamba hata akitoka kazini anapitia bar anarudi nyumbani akiwa amelewa, siku za weekiend ndio kabisaa anarudi saakumi za usiku wakati mwingine saa kuminambili za asubuhi, akimuuliza anamjibkwadharau nakumwambia yeye hatakaa abadilike iyo ndo tabia yake, nakama anaona awezi aondoke, jamani uyu rafiki yangu amechanganyikiwa ajui afanyaje naombeni mumsaidie uyu rafiki yangu jamani.

Hapo muhanga ni ww bhaana bebiii lol
 
Mie ntampenda kwa u perfect wake na u imperfect wake...kwan kabla hajamuoa hakujua kama ni mlev kupindukia :what:
 
Unafikiri Serikali ta Tz itakuacha hivi hivi, jaribu kumshauri aache pombe uone. Haiwezekani mlipa kodi mwandamizi kama huyo akabugudhiwa na mtu yeyote. Na mwaka huu tumejipanga kupeleka muswada kwenye bunge la bajeti kodi kwenye kinywaji iongezwe kidogo na kila mnywaji,

Samahani mlipa kodi mwandamizi atambuliwe rasmi kwa kupatiwa TIN.
 
Back
Top Bottom