harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
Mungu akakamilishe furaha miyoyoni mwenu kwa kuwapatia hitaji lenu mkuuNipo na mke wangu mwaka wa pili huu hatuna mtoto hiyo pressure tunayopata si ndogo,
Yaan mpaka mnakosa raha, lakini si kwamba hatutaki mtoto tunataka sana ila Mungu nae ana kudra zake
Aamiin, ahsanteMungu akakamilishe furaha miyoyoni mwenu kwa kuwapatia hitaji lenu mkuu
Pole sana.
Huwezi kuoa kisha ukawa unazembea kumpa mkeo mimba mwishoni utasaidiwa tu maana yeye anataka mtoto wewe unazungusha tutampa mimba na mtoto utalelewa ndo mwanzo wa kumkaribisha ibilisi.Alisikika mke wangu baada ya maongezi mafupi.. nikamuuliza kulikoni unataka mtoto ghafla hivyo!??
Akaniambia nimetoka home mama akaniuliza vipI tayarI tumboni.. pia mashangazi wakaanza kuniambia mhh umeishi na mumeo mpaka sasa haujashika mimba vipi kuna tatizo!??
Hayo ni maneno ya ndugu wa mke wangu baada ya kutoka kwao kwenye shughuli ya sendoff ya dada yake...
Nikafikiria nikaona jinsi jamii inavyo pressurise mabinti kupata watoto ingali bado hawajajipanga kimaisha..
Huwezi kumwambia mwanao unataka mjukuu wakati ndio kwanza yupo kwenye ndoa ya miezi mitatu...
Watoto wapo tu kwanza tujenge maisha atleast hata mwaka mmoja au zaidi ndio tuanze kufikiria kuongeza familia ili hata huyo mjukuu akija akute mazingira mazuri.
...
Mkuu hongera sana mimi mzee wangu timeoishana miaka 27.Zaeni mtoto fasta. Kwanza maisha yanajengwaje? Maisha ni pale ulipozaliwa ndio yameshajengwa hivyo. Kuna umuhimu sana wa kuzaa mapema binafsi mie na mtoto wangu wa kwanza tumepishana miaka 20 tu. Imagine when i was 40 he was 20. Sasa hivi anafanya kazi nimeanza kula posho zake ujanani kabisa
Sasa Huyo First Born Wako Ambaye Haumtaki Kwa Sasa Unamaanisha Akija Mapema Atawamalizia Fugo La Ugali Au Atawaporomosha Kiuchumi!? Hayo Hayo Ndo Yanafanyaga Unafika Uzee Wakati Watoto Wako Ndo Wangelkua Wajukuu.Alisikika mke wangu baada ya maongezi mafupi.. nikamuuliza kulikoni unataka mtoto ghafla hivyo!??
Akaniambia nimetoka home mama akaniuliza vipI tayarI tumboni.. pia mashangazi wakaanza kuniambia mhh umeishi na mumeo mpaka sasa haujashika mimba vipi kuna tatizo!??
Hayo ni maneno ya ndugu wa mke wangu baada ya kutoka kwao kwenye shughuli ya sendoff ya dada yake...
Nikafikiria nikaona jinsi jamii inavyo pressurise mabinti kupata watoto ingali bado hawajajipanga kimaisha..
Huwezi kumwambia mwanao unataka mjukuu wakati ndio kwanza yupo kwenye ndoa ya miezi mitatu...
Watoto wapo tu kwanza tujenge maisha atleast hata mwaka mmoja au zaidi ndio tuanze kufikiria kuongeza familia ili hata huyo mjukuu akija akute mazingira mazuri.
...
Acha ujinga bro. Mpe mtoto huyu.Alisikika mke wangu baada ya maongezi mafupi.. nikamuuliza kulikoni unataka mtoto ghafla hivyo? Akaniambia nimetoka home mama akaniuliza vipI tayarI tumboni.. pia mashangazi wakaanza kuniambia mhh umeishi na mumeo mpaka sasa haujashika mimba vipi kuna tatizo!?
Hayo ni maneno ya ndugu wa mke wangu baada ya kutoka kwao kwenye shughuli ya sendoff ya dada yake. Nikafikiria nikaona jinsi jamii inavyo pressurise mabinti kupata watoto ingali bado hawajajipanga kimaisha..
Huwezi kumwambia mwanao unataka mjukuu wakati ndio kwanza yupo kwenye ndoa ya miezi mitatu...
Watoto wapo tu kwanza tujenge maisha atleast hata mwaka mmoja au zaidi ndio tuanze kufikiria kuongeza familia ili hata huyo mjukuu akija akute mazingira mazuri.
...
Alisikika mke wangu baada ya maongezi mafupi.. nikamuuliza kulikoni unataka mtoto ghafla hivyo? Akaniambia nimetoka home mama akaniuliza vipI tayarI tumboni.. pia mashangazi wakaanza kuniambia mhh umeishi na mumeo mpaka sasa haujashika mimba vipi kuna tatizo!?