thebogo055
Member
- Jun 22, 2020
- 19
- 176
Pia karama haipangiwi bali hufanya sawa na msukumo wa ndani mkuu
unawajibu kupitia hapaAlisikika mke wangu baada ya maongezi mafupi.. nikamuuliza kulikoni unataka mtoto ghafla hivyo!??
Akaniambia nimetoka home mama akaniuliza vip tayar tumboni.. pia mashangazi wakaanza kuniambia mhh umeish na mumeo mpaka sasa haujashika mimba vip kuna tatizo!??
Hayo ni maneno ya ndugu wa mke wangu baada ya kutoka kwao kwenye shughuli ya sendoff ya dada yake...
Nikafikiria nikaona jins jamii inavyo pressurise mabinti kupata watoto ingali bado hawajajipanga kimaisha..
Huwezi kumwambia mwanao unataka mjukuu wakat ndo kwanza yupo kwenye ndoa ya miezi mitatu...
Watoto wapo tu kwanza tujenge maisha atleast hata mwaka mmoja au zaidi ndio tuanze kufikiria kuongeza familia ili hata huyo mjukuu akija akute mazingira mazuri
...
Mungu akufanikishe mkuuNipo na mke wangu mwaka wa pili huu hatuna mtoto hiyo pressure tunayopata si ndogo,
Yaan mpaka mnakosa raha, lakini si kwamba hatutaki mtoto tunataka sana ila Mungu nae ana kudra zake
AamiinMungu akufanikishe mkuu
Poleni,Nipo na mke wangu mwaka wa pili huu hatuna mtoto hiyo pressure tunayopata si ndogo,
Yaan mpaka mnakosa raha, lakini si kwamba hatutaki mtoto tunataka sana ila Mungu nae ana kudra zake
AhsantePoleni,
AbeeInna ....