siyo ivyo mkubwa, ananifikishi na maanisha unajua kama mwanamke nami kunifikisha kwangu ni kukojoa, sasa yeye anakojoa ila mimi anikojoleshi, ndo tatizo languHakifikishi kivipi, anaishia gol 1 tena ndani ya dakika 2, au punguza mawazo na uwe muwazi kwake kama hakuandai vya kutosha mwambie, tatizo lenu unajifanya kama vile kamtaki kumbe mnataka, kama vipi mwambie aanzie uvinza kwanza ili kuamsha mashetani, au nawe huli koni, taaabu kweli kweli.
Kabla ya kuduu maandalizi yanatakiwa,Habari wana jamvini
Nina shida kidogo ndani ya familia yangu, na mara nyingi nimepata ushauri mzuri tu kutoka ndani ya wana jamii wa JF japo wengine watakukejeli na mengine mengi.
Leo nimekuja umu nikiomba mawazo yenu au dawa ya kutibu ili tatizo, mimi nina mume wangu na nampeenda saaana, na tuna mtoto tayari mkubwa tu, kipindi cha nyuma nilikua ninafurahia sana kipindi tupo sita kwa sita, ila toka mwaka huu uanze kiukweli si enjoy mapenzi yake kabisa, mpaka natamani kama tukae dada na kaka, ila ilo haliwezekani nami sikutoka nyumbani kwetu kufuata undugu, yeye ana enjoy ila mimi anifikishi kabisa, na sifikilii kutoka nje ya ndoa na ndo maana nimekuja umu najua kuna washauri wazuri mnisaidie naomba mchango wenu wa mawazo na uwe wa kujenga na si kubomoa sababu nampenda sana mume wangu na nina wivu nae sana na namueshimu sana, inafikia sa nyingine akitaka nambaniania najua anifikishi so nakuwa simtendei haki mume wangu. Na toka niolewe na huyo mume wangu sijawai toka nje ya ndoa na sitegemei japo wote bado vijana.
Asante saaana kwa ushauri wako, nitajaribu uo wa kuongea nae, na ninapingana na shetani, na kwa ungovi si wezi sema uongo ni kutofautiana kwa kawaida ambao wala si ugomvi wakusema ni mkubwakwani kwa sasa anafanya hayo maneno ya kitandani tofauti na mwanzo?km vp,mwambie afanye km ezi zile.ni kitendo cha kumwambia tu,nae atajirekebisha.Km hutomwambia:- itakuwa ni dalili za kumkaribisha sheteni nae atakutoa nje ya ulingo na kukupeleka sehemu mbaya zaidi,mwisho wake ni majuto.Pia,km kuna ugomvi mdogo mdogo,jaribunio kuupunguza kwani pia unaweza kuchangia wewe kutolidhika:-kwa psychologically itakuwa imeku-affect.
inaaonekana intention yako ni kutoka nje ya ndoa, ndio maana una-mention mention several time. Na aliyekuambia huko nje ya ndoa ndio utafikishwa ni taahira aliebobea, wacha ujinga mweleze mumeo ukweli ili mtatue tatizo:yell:Habari wana jamvini
Nina shida kidogo ndani ya familia yangu, na mara nyingi nimepata ushauri mzuri tu kutoka ndani ya wana jamii wa JF japo wengine watakukejeli na mengine mengi.
Leo nimekuja umu nikiomba mawazo yenu au dawa ya kutibu ili tatizo, mimi nina mume wangu na nampeenda saaana, na tuna mtoto tayari mkubwa tu, kipindi cha nyuma nilikua ninafurahia sana kipindi tupo sita kwa sita, ila toka mwaka huu uanze kiukweli si enjoy mapenzi yake kabisa, mpaka natamani kama tukae dada na kaka, ila ilo haliwezekani nami sikutoka nyumbani kwetu kufuata undugu, yeye ana enjoy ila mimi anifikishi kabisa, na sifikilii kutoka nje ya ndoa na ndo maana nimekuja umu najua kuna washauri wazuri mnisaidie naomba mchango wenu wa mawazo na uwe wa kujenga na si kubomoa sababu nampenda sana mume wangu na nina wivu nae sana na namueshimu sana, inafikia sa nyingine akitaka nambaniania najua anifikishi so nakuwa simtendei haki mume wangu. Na toka niolewe na huyo mume wangu sijawai toka nje ya ndoa na sitegemei japo wote bado vijana.
siyo ivyo mkubwa, ananifikishi na maanisha unajua kama mwanamke nami kunifikisha kwangu ni kukojoa, sasa yeye anakojoa ila mimi anikojoleshi, ndo tatizo langu
kama mnafanya maandalizi kabla ya kuduu afu wew hufiki unakotaka ufike,fanya yafuatayoHabari wana jamvini
Nina shida kidogo ndani ya familia yangu, na mara nyingi nimepata ushauri mzuri tu kutoka ndani ya wana jamii wa JF japo wengine watakukejeli na mengine mengi.
Leo nimekuja umu nikiomba mawazo yenu au dawa ya kutibu ili tatizo, mimi nina mume wangu na nampeenda saaana, na tuna mtoto tayari mkubwa tu, kipindi cha nyuma nilikua ninafurahia sana kipindi tupo sita kwa sita, ila toka mwaka huu uanze kiukweli si enjoy mapenzi yake kabisa, mpaka natamani kama tukae dada na kaka, ila ilo haliwezekani nami sikutoka nyumbani kwetu kufuata undugu, yeye ana enjoy ila mimi anifikishi kabisa, na sifikilii kutoka nje ya ndoa na ndo maana nimekuja umu najua kuna washauri wazuri mnisaidie naomba mchango wenu wa mawazo na uwe wa kujenga na si kubomoa sababu nampenda sana mume wangu na nina wivu nae sana na namueshimu sana, inafikia sa nyingine akitaka nambaniania najua anifikishi so nakuwa simtendei haki mume wangu. Na toka niolewe na huyo mume wangu sijawai toka nje ya ndoa na sitegemei japo wote bado vijana.
sijaolewa na huyo mwanaume ivi karibuni ni zaidi ya miaka 5 tupo wote, kwa usafi hapo sina tatizo, japo wote ni wafanyakazi ila uwa najitaidi sana kwa usafi, na mpaka pafyumu na sabuni za alovera ndo natumia kuogea na kunawia ukeni, kwa hiyo ni ngumu sana kusema mi ni mchafu, kauli mi si mmama shankupe hapana, ni mdada nina heshima zangu, na kingine mume wangu ana kauli mbaya..... HATA IVYO ASANTE KWA USHAURI WAKOApo inabidi ujichunguze kwanza wewe,kama apo awali alikuwa anakupa mambo vizuri,bila shaka yuko fiti,jiangalie kauli zako,usafi wako kimwili na jinsi unavyojiweka,kama mimi kama mwanamke ana kauli chafu,hana adabu,mchafu kamwe siwezi kushirik tendo la ndoa kwa ku enjoy zaidi ya kuishia kukuchezea na kukuacha.pia wadada wengi mkiolewa mnajisahau mnajiweka rough kimwili hat kimavazi,pia inawezekana akawa anakosa msisimko na wewe vile vile inawezekana majukumu mengi kiasi kwamba ubongo wake unashindwa kuwa tayari kwa tendo la ndoa,pengine kapata kimada ambaye anamaliza haja zake akija kwako anaishia kukushika,jaribu pia kuchunguza hilo,ila anzia kwako kwanza jiangalie vizuri kama kuna kitu chochote ambacho akimvutii jamaa,kama uko poa jaribu hayo mengine...