Mume wangu na x-gf wake

mmmh nyamayao wewe inabidi uwe kungwi kwenye vichen party maana una kila aina ya uzoefu ktk ndoa :biggrin1:
 

ningejua ningeolewa tu ila nikijua kwamba hili au lile laweza tokea. ukimpata akupendae unamueleza ukweli tu na mnaenda kupima. kama anakupenda hatakataa, ila sasa nawe hao5 ulikua nao kwa nyakati tofauti ama? na uliemkataa alikukosea ama?

mi sikatai kusalimiana maana hata mi nasalimiana na x wangu tukikutana hatukuachana kiugomvi! shida kuwa too close na x mpaka kujisahau umeoa na yule nae ana wake hapo ctaki kabisa!
 
true ndugu am not afraid of the storms ndio maana nimefika hapa, ila wivu juu ya mume wangu unanisumbua!

Punguza wivu na jitahidi kuwa mvumilivu utakula mbivu kwenye Jubilei.
 

bwana weee, maisha haya hakuna kuaminiana ki hivyo..mie huyu ndio nina ishu nae, kuna X mwingine wa mr wala mbona tukikumbana salamu hazitupigi chenga, tunasalimiana kama kawaida...lakini huyu wa kuagiza vitu cjui salamu za ucku cjui nini...ctaki kabisa.
 
true ndugu am not afraid of the storms ndio maana nimefika hapa, ila wivu juu ya mume wangu unanisumbua!

Hapa hakuna suala la wivu. Unajaribu kuwambia watu wasichezee feelings zako. Au hata wewe hujui ni sehemu ipi katika mahusiano yako ungependa iwe ni "No go zone"?

wewe bwana u si wivu ni kwamba unalinda mali yako
nt wivu ata kdg ni hekima na busara kumlinda mumewako

Na wala si suala la kulinda mume. Ni kuweka mambo sawa ili mtu awe na peace in mind, afanye vitu vya maendeleo badala kupoteza muda kufikiria upuuzi wa hao jamaa wanaotaka kuleta infi kwenye uwanja uliokwishafungwa!
 
Hivi unaweza ukapima streght ya mtu kwa kusoma output ya keyboard yake?

mi nataka kuamini anayoandika ni kweli thats my part naamini aandikacho ni cha kweli she's a strong woman! ila ukiamua kutoamani pia ni poa
 

Dada unaa amani kwa sababu ulichukua kila hatua za tahadhari kuhakikisha unajiweka huru kimwili na kiakili. Tatizo la watu wengine ni kuwakabidhi wenzao hatima ya maisha yao. Hili ni jambo baya sana. Yuo worked for it and you never got it on a silver plate... you deserve to party!!!
 
ninavyoyachukia hayo makitu...lol, nimekomazwa kaka yangu na haya mambo wacha tu.

Kweli cha moto umekiona katika maisha kila mfano hai na mfu unao.

Hongera sana unatufundisha nini sisi wadogo wako sasa nini tufanye?
 
Kweli cha moto umekiona katika maisha kila mfano hai na mfu unao.

Hongera sana unatufundisha nini sisi wadogo wako sasa nini tufanye?

Kwenye mambo ya mali za watu, mkome na kukomaa!!

(hapa nimesahau kuwa mara moja moja nazikbali sheria za akina Teamo!!).....LOL
 
Kweli cha moto umekiona katika maisha kila mfano hai na mfu unao.

Hongera sana unatufundisha nini sisi wadogo wako sasa nini tufanye?

hahahaa...yote mapito tu, lazima kuna vijimambo vya kufanya uchemke kwa namna moja au nyingine....oa kwanza then nitakupa ya mbeleni.
 
Ndiyo, ni kwa nyakati tofauti. Pale Mlimani hadi namaliza nilishakuwa na 3, wakipishana hivyo, sikuwahi kuwa na zaidi ya mmoja at a time. Huyo niliyemuacha alikuwa gold digger wa ukweli, kama umewahi kusikia watu wa namna hiyo. Hao wengine baadhi yao ni kama walikuwa hawajielewi wanachokitaka. Yuko mmoja alinitosa akaenda kuchumbiwa wakati wa zile likizo ndefu za chuo akarudi na engagement ring kuubwa na picha za tukio hilo, lakini hakuolewa na yule jamaa! Tulipomaliza wakati nimepata kazi kwenye kikampuni flani cha kimagirini pale posta akawa ananifatilia kweli mara anipe ofa za kwenda dinner, tukirudi ghetto kwake namega na ndomu kisha nalala mbele, sitaki strings. Ni opportunist flani, siku hizi keshaolewa na jamaa flani hakimu. Huo ni mfano mmoja tu.
 
In short mawasiliano na x's hayakwepeki, ila hadi spouse wako ajue noma...
 
Jamani najisikia wivu sana huyu x anavyozoeana na mume wangu, ameolewa ana mtoto, akihitaji ushauri lazima amconsult mr kwanza, hata kuapply kazi mr amsaidie kuandika barua. Ni wivu tu unanisumbua jamani


Mom kuwa mwangalifu sana na X-wa mumeo, maana mm nijuavyo ukiachana na mtu unaachana kabisa , sasa kama hutokaa chini na mumeo ukamwambia usichokipenda , inawezekana siku moja wakakumbushia enzi, hata kama wamezaa wote usikubali wakawa na mawasiliano ya ukaribu hivyo. Maana maisha ya sasa ni mabaya na kwa kukumbusha tu kuwa "UKIMWI UPO NA HAUNA DAWA" BE CARE WITH URE MARRAGE.
 
Jamani najisikia wivu sana huyu x anavyozoeana na mume wangu, ameolewa ana mtoto, akihitaji ushauri lazima amconsult mr kwanza, hata kuapply kazi mr amsaidie kuandika barua. Ni wivu tu unanisumbua jamani

Mkanye huyo x wake na mpe karipio kali mumeo. Kumbuka, "kiporo hakihitaji moto mwingi". Hao jamaa watakuwa wanaendeleza libeneke nyuma ya mgongo wako.
 
dah..hii sredi...I wish ningekuwa na X huenda ni ngekuwa na cha kusema....lakini for now wacha nizibe mdomo kabisa
 
Mom,
Nadhani unahitaji kumwambia mumeo vile unavyojifeel kuhusu ukaribu wake na x,mwambie yeye ajiweke kny nafasi yako angefeel vipi jamani? ni vema kukawa na distance kwa sababu kwa ukaribu huo lolote laweza kutokea wakiamini kuwa hawawezi kueleweka vibaya coz wote wako kny wedlock.
Inawezekana usiweze kuwatenga kabisa lkn atleast inaweza kusaidia.
 
dah..hii sredi...I wish ningekuwa na X huenda ni ngekuwa na cha kusema....lakini for now wacha nizibe mdomo kabisa

Niko napekua dictionary kuangalia maana ya hilo neno nimeambiwa lina maana nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…