mnh!! yaani huyo amshukuru hata huyo mume aliyemuoa amemsaidia sana, maana kutongozwa ni mvuto, kama mvuto hana asitegemee kutongozwa labda awe anajianika baa mpaka wanaume wakishalewa level ya kuona kila mwanamke ni mzuri.

Kaunga sasa mke wa mtu utongozwe ili ukafanywe nini?
Tena naomba mnitafutie huyo mganga mwenye uwezo wa kumfanya mke wangu akipita kwenye midume yenye uchu aonekane kama Baunsa wa kwenye ukumbi wa disco
Kweli huo ndo utetezi unaoweza kuutoa kwenye kikao kinachojaribu kutafuta foot cause ya kumnyima unyumba mwenzio na kuondoka nyumbani kwa miezi 4 bila ruhusa ya mumeo?