Hii stori inafanana na jmaa mmoja wa sekei arusha,alitembea na binti yake hivyovyo mpaka binti akashika mimba.mama na watu wengine wakaandamana wapi,mtoto mpaka alivyoenda shule walimu wakaona mabadiliko,kumkagua wakaona ni mimba.Baba akaitwa na akaenda kupewa taarifa anasema mimba ni yangu,shetani alinipitia,si ndo walimu kuamka kuita police sasa ye yuko ndani anangoja hukumu yake ya kubaka na kutishia kuua.
My opinion is...mama siku zote ana dhamana kubwa sana kwa mtoto,hata tukio la kuzaa tu ni kifo na uhai.Sasa kwa kesi ya huyu mama hapo juu anahitaji ujasiri na asiogope hata kulala jalalani kwenye swala ya well being ya mtoto.akifukuzwa hana kwao?akipigwa anakufa?God forbid lakini kwenye swala la mtoto/mwanangu i can barely kill..Mungu nisamehe