Mume wangu kaniharibia mtoto,msaada please!

nyamlega

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
38
Reaction score
6
Habari wana Jf, rafiki yangu anaomba msaada.

Ni kwamba anaishi na mume wake na wana watt watatu,mtoto wa kwanza ni wa kike na yupo darasa la saba sasa.

Anasema mmewe amekuwa na tabia ya kutembea(kula uroda) na mwanae huyo wa kwanza toka mwaka jana julai,toka kaanza tabia kawa mkali sana kwa mkewe na humpiga sana hata kwa makosa madogo,akimpiga humuita huyo mtt kirafiki chumbani ,na kumfukuza mkewe chumbani.mtoto kaamua kumwambia mamaye.mama anaogopa kumuuliza mmewe kwa kuogopa kipigo nakufukuzwa.
 
Du! Mpe pole huuyo rafiki
Aripoti hilo suala kwa ustawi wa jamii au polisi.
Kwa kweli inauma saana kwa jins binadamu tulivyogeuka wanyama au denge.
Baba anamgegeda mtoto wake....
Kwa jins anavyochelewa atarajie mjukuu kutoka kwa mwanae.
 
Mshauri aende ustawi wa jamii, they will know how to help her.
 
Mwambie aende ustawi wa jamii au kituo chochote cha sheria na haki za binadamu, kwani hata akienda kwa baba paroko, mchungji, shehe, nabii,au polisi haitasaidia.
Wanaume wengine hata chembe ya soni na huruma hawana bint wa miaka sita hatari tupu.


 
Huyo mwanamama kama yupo tayari anaweza kufungua kesi mahakamani, kama sijakosea hilo ni kosa la jinai na sheria ya makosa ya kujamiiana imeeleza adhabu yake.
 
Duuh nyie wanaume nyie,mlaaniwe,

Mtoto wako wa kumzaa kweli??
 
whaaaaaaat!

mwanae wa kumzaa? hapo mume hakuna, majanga matupu. Suala hilo asilifumbie macho, awe tayari kupambana na changamoto sitakazojitokeza ikiwemo toka kwa ndugu lakini pia ndoa kusambaratika.

but for me.. mume hakuna hapo. Otherwise kalogwa.
 
kwani we ukifanya biashara unakula faida au mtaji,jmaa anakula faida,am kidding jamani huo ni ushenzi mkubwa sana kama ushahidi upo apelekwe polisi tu kwani ni kosa la jinai
 
Huyo mwanamama kama yupo tayari anaweza kufungua kesi mahakamani, kama sijakosea hilo ni kosa la jinai na sheria ya makosa ya kujamiiana imeeleza adhabu yake.
anaogopa mume atamfukuza..yaani hawezi kuishi bila huyo mwanaumwe...sasa wewe unaetaka apelekwe jela atakuelewa kweli
mahaba niue haya???????? ptuuu
 
yaaani tangu julai mtoto anaharibika mama hajachukua hatua kweliiii jamani
 
Dada tulia utoe maelezo yaliyonyooka. Acha kuandika kama upo katika fumanizi. Samahani lakini. Yuheeeeeeeeeeeeeed!
 
Tutake radhi, unajua maana ya mwanamke? manayake aliyetoka kwa mwanamme. hivyo kusema turaniwe unamaana gani?



Siwezi kuwataka radhi,wewe mkeo hutosheki naye mpaka uhamie kwa mwanao?

Narudia tena walaaniwe wanaume wote wenye tabia za kuwagegeda watoto wao
 
yaaani tangu julai mtoto anaharibika mama hajachukua hatua kweliiii jamani

Yaani huyo mama mpuuzi kweli. Yaani eti anaogopa kupigwa na kufukuzwa sijui analinda nini hapo maana ndoa haipo tena.Bora kuwa mjane. Ahhhrrrrgh! Inatia kichefuchefu!.
 
Kama ni stori ya kweli weka picha tuone!
 
Sasa kama mama mwenye mtoto anaogopa kupigwa au kufukuzwa ushauri atakaopata hapa huoni kuwa utamfukuzisha kabisa.............mwambie afanye faster aende huko ustawi wa jamii,
 
dunia hii ya leo ina mambo ya ajabu kabisa!yani sijui inakuaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…