happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Wasiwas wangu kupigwa maana anasema nilivyomuuma nitamtambua na chumban Kuna sime na runguMpe muda, Kama ni mtu wa kutafakari Mambo atajirudi na maisha yataendelea. Hizo ni changamoto tu za mahusiano. Usilazimishe Sana msamaha kwa sasa, Jipeni muda.
Mchezo umeishia hapaMuandikie sms ya kumuomba msamaha ukikazia kuwa hautashika tena simu yake (maana hiko ndio anachokitaka)! Lakini kama kuna la ziada analo moyoni akueleze tu!
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Mwanaume wa kweli apigi mke kwa runguLeo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Yaani wewe ndo umeyapatia umeolwa na security kabisa Rungu na SimeNaogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime
Kuwa na utu tafadhali, kwa hali hii ndio maana sihitaji kuwa verified.Kuna njia nyingi :
1.Kama unampenda : Tuma ujumbe wa kuomba msamaha akirudi nyumbani ujifanye kama hamna tatizo anaweza akakaa kimya iko siku atajishitukia.
2.Kama umeshachoka hutaki vita: inategemea na hali ilivyo, unaweza kuamua kuondoka, uanze mchakato wa kutengana.
3. Kama vita ni vita: mvizie siku ataingia kwenye anga zako unambinya nani hii kisawa sawa hata apige kelele vipi akiendelea kufurukuta unampa onyo "ukiendelea utazipoteza" kuna mdau humu aliadabishwa kwa siku mbili alikuwa hata hawezi kutembea vizuri.
Ukweli ni kwamba mara nyingi ndoa hudumu kwasababu ya uvumilivu wa mwanamke !
Wewe ni wa kiume?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]no need for apologizing, after he is the one to apologize. He behaves like an idiot. For sure he is cheating on you. Jipange. kama huna kifua jiandae kusikia makubwa kutoka kwa huyu fala wako.