Mume wangu hataki kunipa chakula cha ndoa

Wewe ndio yule uchungu wa kujifungua ulienda na mume lebaa? baada ya hapo ukarudi kwakeee na hile hali? Aisee kama ni hivyo 1% ya wanaume anakuja kutokuwa na kinyaa na mkeewee....
 

1.Ni muhimu ungetuambia kwanza ni nini kilisababisha mkae miaka mitano Bila kuoana?
2.ulikua unaishi kwake au alikua anaishi kwako?
3.kati ya wewe na yeye, ni nani mwenye uwezo mkubwa wa kifedha toka awali?
4.toka mwanzo ni nani alikua na mzuka zaidi na mwenzake?
5.kiuchumi mkoje baada ya miaka mitano, mmeshuka au mmepanda?
 
Labda kabla ya kuzaa ulikiwa unajiweka nadhifu na tayari kwa ajili yake. Lakini baada ya kuzaa umebadilika na kuwa rafu.
 
Mumezidi kuwanyima, mukiwa na mimba unawapangia ratiba ya kupewa mgegendo. Mimba miezi 6 unamnyima. Ona sasa kakutafutia msaidizi alafu msaidizi kawa Fundi zidi yako. Pole
 
Naona wengi wamekusha kushauri na kiai kikubwa hayo niliyofikiria

  1. Angalia usafi wako
  2. Tenga muda wa Mume
  3. Muhudumie mume wako sio kumwachia dada
  4. Angalia kama umejiachia sana unene
  5. Ju muda muafaka wa kuongea na mume wako kuhusu mahitaji ya Familia. Kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ukimpokea jioni na kuanza kumuelleza matatizo ya hela...hapo hamu humuishia kabisa
  6. Jaribu pia kujua Ratiba ya mume wako... ili uwe na hakika kuwa ni kweli kila siku yupo busy kwa mwezi mzima

Kama hiyo haiweki naomba uni pm huenda nikahitaji maelezo zaidi ili kukupatia ushauri sahihi
Kila la heri
 
Acha kutafuta mimba nyingine.mtoto bado mchanga unalia lia kumenywa.uwe na subira mtoto aote meno ya juu.
 
Hiyo maswali ya kujipenda kunukia maziwa ni mbwembwe tu, kuna bidada nae huwa ananiambia mme wake hamfwanyi kila siku kujisingizia kachoka....wana mtoto mmoja mdada ni mzuri, mzuri haswa, msafi anajipenda nabakigi tu na maswali mwanaume anakosaje apetite kwa mwanamke kama huyo
Eeeh pole lakini,bora kukosa msosi sio dushe
 

Aisee unajua wewe...
Had the same prolem as well. Ili happen naturaly tu kwamba nikapoteza hamu na mke wangu, but alikua mnyenyekevu na kuwa concerned na vitu vyangu, pamoja na kufanya ibada pamoja, slowly mambo yakabadilika. Lakini waliochangia kuhusu kujiweka safi pamoja na kuweka mazingira pia wapo sahihi. Sometimes baada ya kujifungua wanawake mnakuwa busy sana na watoto kiasi kwamba mnajisahau wenyewe au mazingira around you. Jitahidi chakula kiwe tayari kabla hajawasili, akute mazingira masafi, usidemand sana attention au kuanza kumuelezea matatizo ya home, bali jitahidi kumsikiliza na kumpunguzia stress.
Honestly ikifika era hiyo huwa mnakua na mzigo mkubwa sana but if you'll handle it well,yote yataenda vizuri. Cha muhimu usisahau sala
 
Huyo jamaa namshangaa..Labda kama huduma anapata kwingine..nwei..Vipi we hujabadilika??...

Swala la kupata mtt mlishirikishana??..

Kaeni chini mzungumze..Usikubali maongezi yaishe bila kupata majibu ya kuridhisha..
 
Pengine anahofia utapata nyingine wakati mtoto bado ananyonya.
 

Toka uzae pengine umeacha kujiweka nadhifu namaanisha usafi, labda umeanza kujiachia sana pengine nguo ulizo kua una vaa kipindi huja zaa zilikua ziki mtamanisha jamaa yako. Generally mtege mmeo wewe kuwa malaya kwa mmeo. Unajua jinsi malaya wanavyo vaa sasa vaa hivo chumbani ikiwezekana shinda na chupi tu chumbani, jitahidi hata kununua chupi mpya ambazo hajawai kuona kabatini au bikini, lengo ni moja tu jamaa apate hamu yaku fanya mapenzi... badilisha hata muonekano wa chumba chenu.. weka mashuka mapya kama ina wezekana.... uta shangaaa kwa nn nasema yote haya mimi ni mwanamme tena nime kamilika najua nacho kisema... hakuna kitu mwanaume anawai kukata nacho tamaa kama kila siku akiona mwanamke wake ni yule yule tu... anajua akitoka kazini atakukuta umevaa vile vile siku zote. Kua mpya na utaona mmeo atakavyo data na weee... USI SAHAU KUNI PM ENDAPO HAYA MAWAZO YATA KUSAIDIA...
 

Hili nalo la msingi sana nadhani muhusika amelisikia
 
Mara nyingi wanawakw wakishazaa huwa hawana mufa na mwanaumw. Concentration yao yote ni kwa mtoto. Hii inawwza kumfanya mwanaume kupunguza hamu.
 
Daah hivi mwanaume unakosaje hamu ya kunanihii....mwanamke jichunguze kwanza wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…