Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
-
- #21
Yesu weeeKuna mfanyakazi wa serikali alikuja mkoani kwetu, akadanganyiwa binti Mwenye kichaa. Kanisani walikuwa wanafahamu vizuri na pastor anafahamu kuwa huyo binti ana tatizo la afya ya akili na kila baada ya miezi mitatu huwa anaenda clinic ya vichaa pale Lutindi hospitalini.
Mwanaume akafungishwa ndoa na baada ya miezi 3 dawa anazotumia binti kwa Siri zikaisha, akanza kuonyesha dalili ya ukichaa. Ndipo mwanaume akawajuza wasimamizi wa ndoa, jibu alilipewa ni hili: NDIYO ALIVYO TOKA UTOTONI, MPELEKE HOSPITALINI ATAPATA NAFUU.
jamaa akataka ndoa ivunjwe akaambiwa ndoa ya Kanisani huwa haivunjwi kwa sababu ni Agano.
Je, mwanaume angepaswa kuchukua uamuzi gani?
Kanisa gan Hilo nijeHiyo ndoa inavunjika vizuri tu! Wakristo tumeamka hata wachungaji hawafungishi ndoa kwa kusema "Kwenye Shida na Raha"
Weee, kumbe inawezekana?!Akawafungulie mashitaka ahakikishe ushahidi upo na mashahidi wapo na vithibitisho vipo pia , akafungue kesi adai nafidia hiyo ndoa inavunjwa na mahakama za Jamuhuri ya nchi usika haraka iwezekanavyo na jamaa atalipwa fidia zake zote akitaka. Kuhusu hilo agano aliloingizwa la kitapeli hata yeye anaweza akalifuta baada ya mahakama kuvunja hiyo ndoa sawa sawa na imani yake kwa Mungu wake
Leo mwamposa analisha keki, nenda ukachukue uleMWAMBIE AINGIZE KAMA UTAMBI
Na badoUzi utatembea sana nakazia
Sasa afanyaje dada WA watu jamanmmh fezea hiyo
Kweli eeInavunjwa bila shida... Hao ni matapeli aende amawashitaki waonyeshe mahakama mambo yanayosababisha ndoa kuvunjwa au vigezo vya Ndoa.
Inaweza kuwa ila kama hayajakukuta tulia nduguHizi ni cheap campaigns zenye lengo la kuhalalisha UASHERATI kabla ya ndoa kwa kigezo Cha 'kutest mitambo'. Na hamtafanikiwa kwa jina la Yesu.
MIMI ndiye nimeandika hapo😅Yesu weee
Kumbe alicholalamima huyu dada NI cha kweli jamaan
Kwanini lakini watoto wa Mungu wanateseka hivi kanisani??
Cc: Restless Hustler njoo SKILIZA majibu ya waenda Mbinguni
Huyu NI kama anataka aonekane ame commentInaweza kuwa ila kama hayajakukuta tulia ndugu
Tuna kuignoreMIMI ndiye nimeandika hapo😅
Ndoa inaweza kuvunjwa endapo mwanaume au mwanamke hawezi kushiriki tendo la ndoa. Na endapo mmoja anaonesha kulalamikia suala hilo ndoa inavunjwa vizuri tu.Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole
Kisa kinaenda hivi
Mlokole: money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume
Money penny: nini mbaya mami??
Mlokole: mume hasimamishi nanii yake
Money penny: kivipi?
Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6
Money penny: umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?
Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo Tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi
Sasa nifanyaje??
Stori kamili: ipo YouTube channel yangu
Msaidieni binti WA watu afanyaje
😅😅😅Tuna kuignore
Huenda NI agent WA kuzimu unapenda watoto wa Mungu wateseke
Makanisa yotee!Kanisa gan Hilo nije
Kwenye Kanisa Katoliki Ndoa Iko hiviKweli ee
mwambie aje madaleSasa afanyaje dada WA watu jaman
Kama huduma hupati utatangaza kuvunja ndoa?Hiyo ndoa inavunjika vizuri tu! Wakristo tumeamka hata wachungaji hawafungishi ndoa kwa kusema "Kwenye Shida na Raha"
Hapana! Hadi nimekubali kuolewa means nampenda sana jamaa hivyo tutakua pamoja kutafuta solution!Kama huduma hupati utatangaza kuvunja ndoa?