Mume wangu hapendi sex

Naawazaa tu what if mumeo huyo yuko humu jamvini ....mark word
 
Tangazo jingine tena...

Waungwana tunaendelea kukuelewa, ngoja waje wale wasioavha mbachao...
 
Usimsingizie Mheshimiwa Rais! Jipange kama Mama, mumeo anarudi home kachoka? Njoo PM nikupe ratiba za msosi zitakazo mwongezea nguvu na hamu ya kushiriki tendo.
 
Shetani amekukaribia sana.
Kazana na maombi.
Mfariji mume wako.
Mweleze juu ya hisia zako na unavyojisikia.

Nasema mpende wako wa ndani na usijaribu kumkaribisha shetani.

Kila la kheri
 
Mpe Bwn Yesu moyo wako atakuondolea roho ya uzinzi.
Fanya kazi saana uwe bussy ili upumzike vizuri.
Tulia na mmeo muishi maisha mazuri ya ndoa!!
 
Nilikuwa nataka kumwambia andae gunia 2 za mkaa kwa ajili yako 😃😃😃
Unachosahau ni kuwa gunia mbili za mkaa ni kwa ajili ya jinsia KE hasa pale mnapotaka kunyofoa korodani zeru mkisoma msgs za michepuko yetu
 
Kwamba wewe na mleta uzi wote neno SANA kwenu linakua SNA?

Mbona kama nyinyi ni mtu mmoja.
 
Ni PM nku kuneee. Mabaharia atuwezi kukaa kimya uku dem ana teseka kisa nyege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…