Mume wangu hapendi sex

Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
ukiwa muongo inatakiwa uwe na kumbu kumbu ila kuna kazi haziitaji kuwa chuo labda na mmewe walikuwa wahudumu wa bar mme akapanda akawa meneja.
 
Ukivumilia utakula vizuri na ndoa itadumu kama za wazazi wetu, ukileta za papara papara utajuta kuzaliwa...
 
JF sio nje ni ndani.
 
Magunia ya mkaa yanaanzia hukuhuku! Kama kweli mumeo umemchoka si uombe talaka ila kwa vile ana pesa unataka kuchepuka na pesa unataka jiandae mama kabla hujachepuka acha usia kwa watoto..
 
Usimlaumu tu, muombee , ondoa viashiria vya yeye kutopenda, ongeza viashiria nya kumvuta
 
Maelezo meeengu utafikiri hujaona PM yangu, hebu dondosha mamba huko chap chap, achana na huyo afisa muoga muoga.
 
Shida ni hapo anasema "usiniamshe".Hapo ndo janga.Uanaume majukumu.Ya mchana na ya usiku pia.Khaaa anatuangusha wanaume wenzake.Licha ya kuchoka,analalaje usiku kucha?.Huko kuizoea ndoa kiboko...!
 
Madame nakusikitikia umepoteza muda wako. Anyways ushauri wako unaweza kuwafaa wengine wenye changamoto
Hahahaha haki nimecheka kwa sauti asubuhi hii 🀣🀣🀣🀣🀣.
 
Ni pm nikufundishe jinsi ya kutatua tatizo hilo
 
Nina bei ya kukuhonga uwe mchepuko wangu ili atufumanie anipige chini tumwache na manyege mshindo yake
Hahahaha nilijua unataka niwe kuwadi kwa huyo bibie umegeuka unataka mimi niwe mchepuko mzee una tamaa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nenda kwa Maimasa ukanunue DILDO...HAdithi yako inatufundisha nini?
 
Hahahaha nilijua unataka niwe kuwadi kwa huyo bibie umegeuka unataka mimi niwe mchepuko mzee una tamaa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nakutaka wewe. Ila namwonea huruma mwanamke mwenzio. Yule namtoa nyege tu then naweka kambi kwako mpaka kifo kitutenganishe
 
Mi nakutaka wewe. Ila namwonea huruma mwanamke mwenzio. Yule namtoa nyege tu then naweka kambi kwako mpaka kifo kitutenganishe
Hahahaha jina la mkeo nimesahau nilitaka nim tag ajionee ulivyo mchepukaji hodariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…