Mume wangu hapendi sex

1. Mke wa mtu ni sumu
2.Maradhi yanaenea kwa kasi
3.Maisha yanachanganya watu
 
Pole sana huyo mume wako hajui thamnani yako wala hajui kwann ulikubali kuwaacha wazazi wako unaenda kuishi nae hajui ulifata nn kwake anazani ulifata mali, au kula au chochote kwake ulifata mapenzi ambayo baba wazazi wako au ndugu zako hawawezi kukupa hii naomba iwe fundisho kwa wanaume wote jmn tusiwe bize na kazi tukasahau majukumu yetu ya ndoa... Kama tyapendezwa njoo pm nikupe namba tuwasiliane nikukune vilivyo usahau shida zako.
 
Ukiwa na maana ww hujawahi ma hutawahi kuchepuka??
 
We acha kukalili maisha ndugu yangu unazani. Kila mtu amepata habat kama ww ya kusoma mshukuru Mungu kwa kupata hiyo bahati ya kusomeshwa mengine ni yatima au wazazi wake ni maskini tena kulee kijijini mambo ya kusoma kwao sio kipaumbele hata wakitamani usome hera hawana haya mambo unasome ww yapo mijini ambako uelewa wa watu kuhusu elimu ni mkubwa lakini vijijini huko watoto wanaachishwa shule ili wawasaidie wazazi kazi za mashambani nk hata ukibahatika kusoma mkikaribia kufanya mitihani tu wazazi wanaambiwa ufanye vibaya kwa makusudi hata swali unajua jibua lake sahihi andika jibu lisilo ili ukosee usije faulu kwenda secondary.. Kwa hiyo kuoa au kuolewa mapema kama hukuendelea na elimu mbona ni kawaida we unasema huyu kuna watu mpaka leo huko vijijini wanaolewa miaka 16, 17 jata 18 hawajafikisha na hakuna wa kuwashitaki ndo kawaida yao.
Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
 
Njoo pm nina ushauri mzuri
 
Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Utunzi wa simulizi ni sanaa.
 
nilikua naenjoy haswaa japo alikua dereva tax lakin nilijiona kama natoka na pedeshee fulan sio kwa mahaba Yale na kunijali kule alinipenda SNA.

Najikuta naanza kukumbuka ule mchepuko wangu yule afsa wa NMB yaan alinipa shoo mpaka nikimkumbuka najikuta natabadam

Kwahiyo ulikuwa na Michepuko mingapi?
 
Yes mkuu hata mimi nmemuomba aje pm nitakuwa kijakazi wake kuhakikisha hapati shida ya kuumizwa na nyege tena jmn nyege ni mbaya hasa ukiwa huna mtu wa kujua kukutoa aje pm nipo kwa ajili yake.
 
Angekuwa ndo mwanaume anapitia hayo ungempa ushauri huu huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…