Mume wangu hapendi sex

Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Zero brain
 
njoo tuchepuke wawili
 
Unajua bwana Mr Devil hajagi directly kukuambia uzini.... anazungukagaaaa anakubofya bofya anaangalia wapi weakness ilipo ambayo akiigusa definitely utaingia kwenye dhambi.

I bet your husband is a good man. Money to men, is what beauty is to women. The same money he earns runs the family and all the needs are met. Stop whining about' changamoto za ndoa'. Ypu are not even halfway there.

How about usisahau you have a beautiful family na jikaze usirisk kupoteza familia yako ama kuharibu over your sexual desires? What if uniletee mumeo maradhi? What if ufumaniwe? What about the guilt once your desires have been quenched?

Na je, unajua sexual desires ni kama usingizi ama njaa? Huwezi kuwa satisfied indefinitely. Lazima utapata njaa tena. Then what? Unaingia kwenye uzinzi mazima? Ukimchoka na huyo Ex.... utahamia kwa mwingine?

Think long and hard. Pray for deliverance. It shall be well honey.
 
Mambo ya ndani yamewekwa jf.... Kibaya na mtoto wa kike... We binti hujafundwa kwenu??? Aliyekwambia siri za ndani zinatolewa nje kiholela hivi ni nani??? Hukustahiki hata hiyo ndoa kwa akili hizo hebu nenda kaongee na mumeo achana na story za michepuko mfyuuuuu
 
Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Labda alikuwa house maid je??? Hiyo nayo ni kazi boss usihoji sana
 
Tatizo humu ndani huwaga siwaelewi, MTU anaomba ushauri mnasema uongo, sasa nidanganye nimuogope nani humu ndani katika thread zangu cjawah kudanganya, hata ile ya jamaa wa muheza zote ni kweli ila mazingira ndoa tofauti.

Na hayo yote yanatokana na Mr wangu angekua anapatiliza ningetulia, nihangaike nitafute nn wakati kila kitu muhimu ninacho.

Hayo mengine mnayoyataka hayawahusu, nipen ushauri nifanyaje,
Najua wanaume imewatouch sababu nimetacha mwanaume mwenzao hanilidhishi.

Tuheshiane sipo kutafuta bwana humu, humu mtaan wamejaa ningewataka ningekua nao ila nafsi inanisuta juu ya hili ndoa maana nataka mnisaidie nifanyaje niondokane na hali Hii.

Cta mjibu mtu yoyote povu ruksa, wenye uelewa watanishauri.
Muhimu kuelewa hekima kukaa kimya
 
Kati ya vitu vinaotutoa mzuka si wanaume ni mwanamke kutuomba mchezo au kulazimisha mchezo na ukajua
Mtege ila jifanye ka hutaki
Ata kuku mwenyew anakimbia jogoo ila jogoo akisimama kikuku kinajipitisha tena
 
Acheni Kumsema Vibaya Mama Wa Watu Maana Anacho kililia Ni Khaki Yake Ya Kimsingi Pia Hilo Tendo Ndio Ndoa Yenyewe.

Ingekua Vizuri Kama Angepatiwa Ushauri Wenye Kujenga Na Wenye Ufumbuzi Wa Tatizo Lake Kuliko Akikatishwa Tamaa.

Hili Tatizo Hata Kwetu Sisi Wanaume Linapo Jitokeza Kwenye Ndoa Zetu Huwa Linaleta Sito Fahamu.
kitu Kinacho Pelekea Mwanaume Kuaza Tabia Ya Kuchepuka Kama Si Kutelekeza Family.
 
Sijui kama atakuwa amekuelewa,.maana kiswahili chenyewe tuu ni changamoto kwake..lol😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…