Mume wangu hapendi sex

Nitumie no yako PM nikupigie nikupe ushauri nasaha
 
Yani mwanamke akiamua kusuguliwa utaomba po!!Atataka kila mara
 
Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Pia amesema kabla ya ndoa alikuwa anazini na dereva tax ambaye yupo very romantic,

Mwishoni akasema jamaa ex wake ni afisa wa NMB,
 
hizo ni dalili amepata cha kupata, nasikia kule mahali ukishiriki kikawaida lazima stimu iwe ina kata
 
Tafuta michepuko miwili ya nguvu
 
Itakuwa huna maji. Anapata michubuko inamchukua mda kupona.
 
Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Na Mimi nilikuwA nimeshangaa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

nakazia
 
Kweli aya Maisha ya Ndoa hayaeleweki na yanachekesha sana.
Mimi nalalamika kua mke wang hapendi sex kabisa, wakat wew unalialia kua mme wako hapendi sex. Yaani nilichokikosa mimi ndicho ulichokikosa wew pia. Sipati picha iwapo tungekua tumeoana MIM na WEW.
Anyway Maisha ya ndoa ndivyo yalivyo cha msingi jaribu wakat wa wikend kukaa na mme wako akutoa nyege zote
 
Shida iko hapa...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nawewe umeona eeh
Kama ni mambo ya pepo na majini basi muhusika atafute namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…