Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

Mama mtu ana miaka 14, binti Kazaliwa 1991, Kaanza shule pengine 1995,ana miaka 4. Kamaliza Sm, 2002 akiwa na miaka 12,hapo hajarudia darasa. 2006,kamaliza Form4,2008 form 6.hajarudia darasa.
2009-2013, miaka 4,asante degree mpaka masters huko London.??
Nahitaji masaada WA kimawazo la sivyo tunachangia kepengele katika hadithi isih ya kweli... FICTION STORY
 
watu na vipaji vyao vya kutunga hadithi,ila wanasahau kupangilia baadhi ya vitu.

wajuvi wanasema ukiwa muongo usipoteze kumbukumbu.
napita.
 
siku hizi watoto wanaanza shule na miaka 5 so kuwa na masters na miaka 23 au 24 ni kawaida sana siku hizi na hizo PHD za miaka27/28 zipo sana ....

Nchi gani hiyo? sheria ya Tanzania shule ya msingi unaanza ukiwa na miaka saba.
 
Acha kukariri mkuu...labda shule za kata hizo nyingine 5 yrs claa one


Hakuna shule ya msingi Tanzania inayo pokea mtoto wa miaka 5 aanze shule ya msingi.
Kama ipo lete jina la hiyo shule?

Kama hujui tofauti ya chekechea na shule ya msingi, uliza ueleweshwe, wale wale mmmmmm,
 
Hakuna shule ya msingi Tanzania inayo pokea mtoto wa miaka 5 aanze shule ya msingi.
Kama ipo lete jina la hiyo shule?

Kama hujui tofauti ya chekechea na shule ya msingi, uliza ueleweshwe, wale wale mmmmmm,

Sibishani nawe mkuu wangu anamaliza form 4 na umri 15/5 mwaka huu
 
Hakuna ukweli wowote katika hayo uliyoyaandika. Ukiisoma mstari kwa mstari huzioni hisia wala mood ya mwandishi. So, hata kwenye utunzi bado na utasubiri sana. Fikiri tena namna bora ya ku-draw atension za watu but not like this.
 
Sibishani nawe mkuu wangu anamaliza form 4 na umri 15/5 mwaka huu

Na ndio maana Magufuli anatumbua majibu. Wazazi inabidi wajue sheria ya nchi yao na wafuate.
SYSTEM YA ELIMU YA Tanzania, mtoto wa miaka 13-14 ndio anamaliza shule ya msingi, hiyo ni halali kabisa.

Na mtoto wa miaka 17-18 anamaliza form 4, hiyo ni halali.

Ukiona mtoto wa miaka 15/5 anamaliza form 4, nchini Tanzania, hapo jipu lazma litumbuliwe. Sheria hazikufuata.
 
Just cool na uende mapumziko ya mbali. Ikiwezekana urudi ulaya na utafute mme mwingine. Lkn yote mkabidhi Mwenyezi Mungu! Tafadhali usigombane na mama mwachie mume kwani huyo hakufai hata kidogo. Msaada zaidi unitafute kwa ushauri mpana.

asante
 
Amelaaniwa alalaye na mama mkwe wake. Miili hii ndiyo maana Mungu alituhukumu tufe maana machukizo tunayotenda mbele yake ni mengi. Ni ngumu dada. Kwa vile una kazi nzuri mwambie mume wako ndoa imenishinda na nenda anza maisha yako. Na akikusumbua sana mpelekee hizo message. Mimi sikushauri uendelee kukaa na mtu anayetembea na mama yako. Hiyo ni laana na itakula kwako ukiendelea nayo. Ushauri kwa wanaume, jaribuni kuwa na akili mnapofanya jambo maana mengine yanasikitisha sana. Hakuna siri chini ya jua na uasherati unaangamiza nafsi yako. Methali 6:24-29.
 
Habari,

Mimi ni mdada wa miaka 25, Nimeolewa Disemba mwaka jana.Yamenikuta mimi ninampenda sana mume wangu (lakini mmmh). Kwa ufupi mimi nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama but baba alifariki 1998 nikiwa mdogo sana, mama yangu hakuolewa tena.

Basi maisha yakaenda poa sana kwasababu babu yangu alikuwa na kipato sana pia mama ni mfanyakazi so nikasoma hadi form 6, nikaenda London kwa Degree na Master nikamaliza 2013. Basi nikarud Tanzania.

Nikapata kazi nzuri sana na yenye kipato kizuri, so nikawa naishi na mama yangu vizuri sana.

Mwaka juzi mwezi wa 3 nilikutana na huyu mume wangu aliyenioa, basi mahusiano yalikuwa mazuri sana ikafika kipindi ikabidi nikamtambulishe kwa mama.Basi akawa anakuja home hadi ulipofika muda wa kuoana.

Sasa mimi sijui chochote kinachoendelea kati ya mama na mume wangu, yaani (..) mama yangu ana miaka 39 kwa sasa kwani mimi 25, aliwahi kuzaa sana so tunaendana sana.

Mume wangu ana miaka 34, Sasa mimi nilikuwa najiuliza mbona Mume wangu na mama yangu wako karibu sana but nikasema no its my mam hakuna baya.

Ikaendaaa muda kidogo, sasa jana usiku mume wangu alirudi saa 6 usiku kwa mara ya kwanza toka tumeoana, leo asubuhi akaenda mazoezi, nikachukua simu yake nikakutana na meseji hizi.

mume wangu: nimefika lv

mama yangu: oky lv tell ume enjoy sex

mume wangu: Sana na kesho tena tukutane mapema sana nataka nime na mda wa ku enjoy zaidi au unasemaje?

mama yangu: Okey pouwa usijali nitafanya utakavyo sina pingamizi usisahau kufuta msg si unajua tena lv binti asije akaona

mme wangu: usijali kipenzi.

Basi nikarudisha simu nikachukua piliton 2 nikanywa nikalala, now ndio nimeamka.

I don't knw wat to do, plz nisaidieni sijamwambia mtu.

Msaada plz nahisi
Naona mumeo ameshapita humu jf, lete mrejesho.
 
Duu pole mwache aendelee kula uroda na mama yako, we Angalia mambo yako yanaenda vizuri kama utamu upo tu na utampata mwengine
 
Kama una miaka 25,
Umezaliwa 1991,
1998 ulikua na miaka 7,tufanye ulikua darasa 1,
Kama ukianza shule mwaka huo 1998,bila shaka darasa la 7 ulimaliza mwaka 2005,
Kidato cha nne utakua ulimaliza mwaka 2009,
Five&six 2010-2012,
2013-2015 degree
Huu ni mwaka 2016 mwanzoni na umemaliza masters mwaka jana, bt cjui degree na master's za hko nje hutolewa baada ya muda gani...
Sor kwa mpangilio mbaya but hope nimeeleweka.

Hii story labda ya rafiki yake bt kama mtoa post ndo muhusika mimi umenikosa...


ndugu Genius

Siku hizi watoto wanasomeshwa wakiwa na umri mdogo, 5yrs wanaanza std one; nenda shule yoyote ya Private ni hela yako tu; system za Uingereza, undergraduate ni 3yrs, masters 1yr. Msaidieni jamani huyu binti; acheni mzaha. This is possible; kwa kuwa hata mama naye ni binti aliyepevuka tu. These people wanahitaji spiritual healing.
 
pole sana ndugu yangu ulikukumbuka kuscrinshoti ili iwe msaada kwako hapo baadaye jinsi ya kuwakamata

ila nakuomba umwombe Mungu akusaidie namna ya kuongea nae huyo mumeo na mama pia a

yaani mama ana aibu anakubali kuchezewa na mkamwana wake aisee kweli dunia imekwisha na
sasa ni zil e siku za sodoma na gomora sio bure aiseee

poles sana
 
Back
Top Bottom