Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

Forward hizo sms kwao then kaa kimya bila kuwauliza chochote...hiyo ndo adhabu kubwa kuliko zote ..I did da same thing kwa boss wangu alipotembea na mzazi mwenzangu ...niliscreen shot conversation zao then nikawaemail na kuwaambia just thanks...then nilimwomba Mungu anipe ujasiri na moyo wa msamaha...toka July 2014 mpk leo sijawahi kumuuliza chochote boss wangu...alikonda na kukosa amani...tulikuwa tukikaa same office anatoka kwenda nje...ananiangalia then hajui aanzie wapi...me naishi nae as if nothing kimetokea...nacheka na sometime mpk tunagonga mikono mpk leo sijawahi kumuuliza na sitamuuliza na mzazi mwenzangu nilishamtema japo kutembea na bos wangu ilikuwa ni moja kati ya sababu nyingi zilizofanya nimuache....so maisha yanaendelea ila boss mpk leo hata nisipoenda kazini haniulizi atamtuma mtu aniulize..she is very uncomfo...yaani adhabu kubwa kuliko zote kwa mtu wako wa karibu anayekuumiza ni kumwonesha umejua then unamlipa mazuri badala ya mabaya..trust me hiyo adhabu mme wako hatokaa arudie....na usimpe chance kuongea....ongeza upendo kwake...akitaka kuzungumza mhug and kiss him....mpikia favourite foods....mwenyewe ataitisha kikao kukuomba msamaha bila kumwuliza chochote.
Kwa hiyo aendelee Nae pamoja na kutembea na mama . Disqualification isiyo na Chenga Wala kupepesa macho. Men wako wangapi ?watu wanatemwa Kwa kutembea nje sembuse kutembea na mama ???&£/@%#
 
Shukuru mama ndie alikuzaa. Msamehe. Mpigie magoti mama halafu unwambie ukweli. Ukweli mwinginw mtu anaweza jiuwa.
 
Kwa hiyo aendelee Nae pamoja na kutembea na mama . Disqualification isiyo na Chenga Wala kupepesa macho. Men wako wangapi ?watu wanatemwa Kwa kutembea nje sembuse kutembea na mama ???&£/@%#
Kuhusu kumwacha ni maamuzi yake mwenyewe kamwe hatuwezi kumuamulia nini cha kufanya....lkn kwa kufanya hivyo atawapa phycological torture na wao wenyewe wataitisha kikao....au mwisho wa siku mume anaweza kuondoka mwenyewe...hakuna adhabu kali kama hiyo trust me..bora mtu akutukane...
 
Shukuru mama ndie alikuzaa. Msamehe. Mpigie magoti mama halafu unwambie ukweli. Ukweli mwinginw mtu anaweza jiuwa.
Dah, yaani ampigie mama yake magoti after all this?? Ni kumuonyesha mama yake kuwa yuko dhaifu sana, atampa a psychological upper hand hapo siku za mbeleni.
Inatakiwa awe mbogo! Akinukishe kweli kwa watu wazima wa ukoo, watu wazima wataotunza siri za mama yake, ila lazima wajue.
 
Kuhusu kumwacha ni maamuzi yake mwenyewe kamwe hatuwezi kumuamulia nini cha kufanya....lkn kwa kufanya hivyo atawapa phycological torture na wao wenyewe wataitisha kikao....au mwisho wa siku mume anaweza kuondoka mwenyewe...hakuna adhabu kali kama hiyo trust me..bora mtu akutukane...
I know ni adhabu tosha Kabisa na inaumiza japo ujue kuna Watu wana roho Ya pata Impact yake itategemeana na moral standard Ya mtu na inaweza Isi work out unavyotegemea bi Rosta
 
@hsnkey pole ila unajinsi kama mmezaa Nenda kanisani au msikitini kwa sheheh maana hapo wataendelea hadi mwisho hapo ni aibu ya mwaka na mama yaki mshenzy wa tabia...vinginevyo nitafute niPM nitakusaidia.
 
Huyo mwanaume hakufai dada mpaka afikia atua ya kutembea n mom wako kabisa alokuzaa duh pole ila pia huyo mama yako kwani kakosa wanaume mpaka atembee n mkwe wake jaman mbn dunia imeisha pole sn itabid utumbue jibu usikae nae moyoni utaumia.
 
Habari,

Mimi ni mdada wa miaka 25, Nimeolewa Disemba mwaka jana.Yamenikuta mimi ninampenda sana mume wangu (lakini mmmh). Kwa ufupi mimi nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama but baba alifariki 1998 nikiwa mdogo sana, mama yangu hakuolewa tena.

Basi maisha yakaenda poa sana kwasababu babu yangu alikuwa na kipato sana pia mama ni mfanyakazi so nikasoma hadi form 6, nikaenda London kwa Degree na Master nikamaliza 2013. Basi nikarud Tanzania.

Nikapata kazi nzuri sana na yenye kipato kizuri, so nikawa naishi na mama yangu vizuri sana.

Mwaka juzi mwezi wa 3 nilikutana na huyu mume wangu aliyenioa, basi mahusiano yalikuwa mazuri sana ikafika kipindi ikabidi nikamtambulishe kwa mama.Basi akawa anakuja home hadi ulipofika muda wa kuoana.

Sasa mimi sijui chochote kinachoendelea kati ya mama na mume wangu, yaani (..) mama yangu ana miaka 39 kwa sasa kwani mimi 25, aliwahi kuzaa sana so tunaendana sana.

Mume wangu ana miaka 34, Sasa mimi nilikuwa najiuliza mbona Mume wangu na mama yangu wako karibu sana but nikasema no its my mam hakuna baya.

Ikaendaaa muda kidogo, sasa jana usiku mume wangu alirudi saa 6 usiku kwa mara ya kwanza toka tumeoana, leo asubuhi akaenda mazoezi, nikachukua simu yake nikakutana na meseji hizi.

mume wangu: nimefika lv

mama yangu: oky lv tell ume enjoy sex

mume wangu: Sana na kesho tena tukutane mapema sana nataka nime na mda wa ku enjoy zaidi au unasemaje?

mama yangu: Okey pouwa usijali nitafanya utakavyo sina pingamizi usisahau kufuta msg si unajua tena lv binti asije akaona

mme wangu: usijali kipenzi.

Basi nikarudisha simu nikachukua piliton 2 nikanywa nikalala, now ndio nimeamka.

I don't knw wat to do, plz nisaidieni sijamwambia mtu.

Msaada plz nahisi

MKUU
WEKA PICHA HAPA
TUTAPATA SULUHISHO MURUA SASA HIVI.
 
Pole sana ndiyo ndoa za soku hizi! Huyo mumeo na mamaako si waaminifu kabisa na hawana aibu. Hata kama walikuwa wapenzi kabla hamjakutana walitakiwa waachane au mama akukataze. Kama kweli hizo meseji ni za mamaako na mumeo, mwambie mamaako kwamba unaachana na mumeo kwasababu anatembea naye!
 
@hsnkey pole ila unajinsi kama mmezaa Nenda kanisani au msikitini kwa sheheh maana hapo wataendelea hadi mwisho hapo ni aibu ya mwaka na mama yaki mshenzy wa tabia...vinginevyo nitafute niPM nitakusaidia.

Hatuja zaa ndoa ina miez 4 tuu
 
Iwe chai au kahawa uwe ubuyu au ukwaju kifupi mambo haya yanatokea sana kwenye jamii zetu.Pole mdogo wangu huyo tayari mke mwenzio tena kajishusha cheo.
 
Mhhhh najiuliza Mara kumi kumi hivi hizi habari ni za kweli? HOW?........ unawezaje kumfanyia mambo hayo mtoto ako wa kumzaa?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Waambie kwamba umegundua. halafu uwaambie wapo huru kuendelea na hayo mahusiano yao. Na wewe uendelee na mume wako kama kawaida. kwa kifupi mama yako awe mke mdogo. maana maji yamekwisha mwagika.
 
Habari,

Mimi ni mdada wa miaka 25, Nimeolewa Disemba mwaka jana.Yamenikuta mimi ninampenda sana mume wangu (lakini mmmh). Kwa ufupi mimi nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama but baba alifariki 1998 nikiwa mdogo sana, mama yangu hakuolewa tena.

Basi maisha yakaenda poa sana kwasababu babu yangu alikuwa na kipato sana pia mama ni mfanyakazi so nikasoma hadi form 6, nikaenda London kwa Degree na Master nikamaliza 2013. Basi nikarud Tanzania.

Nikapata kazi nzuri sana na yenye kipato kizuri, so nikawa naishi na mama yangu vizuri sana.

Mwaka juzi mwezi wa 3 nilikutana na huyu mume wangu aliyenioa, basi mahusiano yalikuwa mazuri sana ikafika kipindi ikabidi nikamtambulishe kwa mama.Basi akawa anakuja home hadi ulipofika muda wa kuoana.

Sasa mimi sijui chochote kinachoendelea kati ya mama na mume wangu, yaani (..) mama yangu ana miaka 39 kwa sasa kwani mimi 25, aliwahi kuzaa sana so tunaendana sana.

Mume wangu ana miaka 34, Sasa mimi nilikuwa najiuliza mbona Mume wangu na mama yangu wako karibu sana but nikasema no its my mam hakuna baya.

Ikaendaaa muda kidogo, sasa jana usiku mume wangu alirudi saa 6 usiku kwa mara ya kwanza toka tumeoana, leo asubuhi akaenda mazoezi, nikachukua simu yake nikakutana na meseji hizi.

mume wangu: nimefika lv

mama yangu: oky lv tell ume enjoy sex

mume wangu: Sana na kesho tena tukutane mapema sana nataka nime na mda wa ku enjoy zaidi au unasemaje?

mama yangu: Okey pouwa usijali nitafanya utakavyo sina pingamizi usisahau kufuta msg si unajua tena lv binti asije akaona

mme wangu: usijali kipenzi.

Basi nikarudisha simu nikachukua piliton 2 nikanywa nikalala, now ndio nimeamka.

I don't knw wat to do, plz nisaidieni sijamwambia mtu.

Msaada plz nahisi
Ni PM namba zake huyo bi-mkubwa wake nianze kwanza kumfanyia intelijensia ya mambo ya ushauri
 
Siku zote huwa nnasema huku ni ugonjwa wa moyo na pressure.

Jukwaa la siasa raha sana. Hakuna ujinga ujinga kama huu.

Jibu: siamini mtu yakukute hayo halafu uingie JF kuanza kuhadithia jistori refu la maisha yako. Kisa eti mama'ko kaliwa na mumeo.

Ingawa duniani kuna mambo lakini kwa umri nilionao nnadiriki kusema, huu ni uongo short and clear.
 
Back
Top Bottom