Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

Yaonesha mama yako anapenda mitombo toka akiwa mdogo, alikuzaa akiwa mtoto wa miaka 14, ni asili yake! Anahitaji maombi.

Ushauri wangu:
kusanya ushahidi wa kutosha kisha shirikisha wakubwa wenu ktk ukoo, ila jamaa kama utapata ushahidi wa kutosha, ukishamaliza kuwashirikisha ndugu, jamaa inatakiwa umpige chini, wewe bado mdogo, with time utapona! Naniliu yako kimaadili sio vizuri kumesa ile kitu naniliu ya mama yako tayari imemesa!
Anza upya, jamaa achana nae, haiwezekani akubali kulala na mama yako nyuma ya mgongo wako. Kama hawajangonoka, mpe onyo kali. Kuwashirikisha ndugu ni kumpa woga mama yako kuhusu uhusiano wako na umpendae awe anauogopa kama ukoma, hivyo ukikusanya ushahidi ni lazima uwashirikishe ndugu watu wazima.
 
Hesabu za haraka 39-25=14 Inakaa mamako anapenda haya mambo ndio akayaanza mapema. Hiyo ishakuwa characteristic yake hawezi badilika halafu kapata age mate.
Yaani from
Action->habit->characteristic.
Pole.
 
duu!!so sorry sister it happens even if u will get advice from jf but all in all the last say its remain to u....km unaweza kumuuliza husband wako kuwa unajua what is going on btn him and your mummy it will be better....pia ukamweleza mzazi wako kuwa unajua kinachoendelea nayo pia ni njema....mwisho uamuzi wa kuendelea au kutoendekea naye unao ww mwenyewe....dhambi ambayo hata ktk biblia inaruhusiwa kuvunja ndoa ni kama huo wa kuchepuka.

Asante
 
Nawashauri wote! unapoanzisha thread acha kujitambulisha level ya elimu yako, baadhi inawaaibisha wenyewe maana haifanani na unavyotoa mada!
Umeongea bonge la point, ni kwa wale wote wenye viherehere vya kutaja elimu yao, kuna uzi nyingi humu hamna uhusiano wa elimu na uzi maana vinaenda sehemu mbili tofauti.
 
Mimi sipo kwenye ndoa ila haya yanaweza kuwa msaada kwako ; kwanza usipaniki, meza maji mengi then bila kukurupuka ukiwa na ushahi wa hizo conversation uwahusishe ndugu zenu watu wazima zaidi yake kama wajomba au wababu kama wapo. Katika hilo uangalie namna ambayo itasababisha muishie kwenye vita ya milele wewe na mama yako kwani hata kama atakufanyia nini kibaya anabaki tu kuwa mzazi wako. Hapo unaweza ukateta kwanza na hao ndugu ili ukajua namna nzuri ya kumwaprochi ili baada ya hilo muwe sawa.
Kama hivyo itashindikana pia unaweza kuwatumia watu wake wa karibu kama marafiki ili waongee nae kwa kumjulisha hatima ya ndoa yako
 
Pole sn! Chukua uamuz mmoja umpoteze mama yko coz ya mme au umpoteze mme..... Yaan namanisha uachane na mmeo au uvunje undugu na mama yko......... Lkn jamaaa ametusha kula kuku na mayai yke!
 
Shida moja ndani ya ndoa huwa mnajibana sasa mama kajiachia kwa mmeo utakuwa na kazi ya ziada labda uongee na mama yako umweleze kuwa umeshayafahamu mahusiano yake na mmeo labda kama ana aibu ataacha.
Vinginevyo mwaachie mtafute Mme mwingine bado wewe ni mdogo halafu mmeo kwa umri huo ni mtu mzima kama hamnazo ni hamnazo tu
 
Back
Top Bottom