amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 457
😀😀😀 "hapetait" naona severs ziko Downyeye pia ameongeza hapetait
Madogo yana nafuu mumy.Makubwa nayo[emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza hapetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na Mimi kwa sasa mpaka imepelekea nakosa Uhuru niliokua nao zamani ila kuna maswali kila tuwapo faragha ananiuliza huu mchezo nilijifunzia wapi? Nashindwa kumjibu maana pia na wasiwasi akijua je nimjibuje ? Naomba ushauri.
Mhhhmjibu ili ndoa iote mbawa. ila dada acha hako ka mchezo ni hatari kwa afya zenu
Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza hapetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na Mimi kwa sasa mpaka imepelekea nakosa Uhuru niliokua nao zamani ila kuna maswali kila tuwapo faragha ananiuliza huu mchezo nilijifunzia wapi? Nashindwa kumjibu maana pia na wasiwasi akijua je nimjibuje ? Naomba ushauri.
Kwa jibu hili umemaliza kila kitu we [HASHTAG]#Amandacute[/HASHTAG] ukuje usome hapa na utupe jibumkuu si ulituambia ulishatumia sana hiyo na ex wako ? kwanimumeo hakuona imetumika mpaka aulize? usimjibu