Alianza kutafuta Mr right man, akampata, akatangaza ndoa, akaolewa, akahisi utamu, Mara shahawa za mumewe zikaanza kumuwasha, Mara ndoa yake ikaanza figisu,akaanza kuijutia, akamfuma mumewe, Leo kamuacha mwenza...Sijui kitu mkuu!!!
Ni muongo ama?
Marekebisho:Hajaachwa!Mmmmm,shosti una moyo ......ivi unaachwa na unakuja kutangaza? BIG UP...............
Ewaa! Bhasss ngoja nipige misele area hzo nione kama ntakutana nayeTehh..teehhh...[emoji12] [emoji12]
Nakumbuka nilisha kutana na mwenye avatar kama ya Monicca maeneo ya Corner Bar
Kuanzia alipo watangaza vijana walio mfuata kule pm, basi naona ndio hana fursa tena hapa jf.Mimi nimependa hapo mwisho ulipowatangazia wana JF wote kuwa upo huru!!!.....Jamani chonde chonde application zisichelewe!!
Wandugu habrn za kazi.
Niende kwenye mada
Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.
Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.
Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.
Na sina haja ya kuolewa tena.
Nawasilisha.
Teh!teh!!teh!!!Kuanzia alipo watangaza vijana walio mfuata kule pm, basi naona ndio hana fursa tena hapa jf.
Na kwajinsi alivyo muanika huyo mumewe aiseeee..... hata sisi wazee tunaogopa kumsitiri
Umeanza tenaWandugu habrn za kazi.
Niende kwenye mada
Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.
Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.
Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.
Na sina haja ya kuolewa tena.
Nawasilisha.
Hiyo # Saba ilikua ni kiboko ya zooteIla nachomkubali ni kwamba ameweza kuzipanga episode katika mfuatano unaoeleweka.
Tujikumbushe
1. I need my Mr. Right
2. Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu
3. Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?
4. Wedding invitation
5. Leo naolewa
6. Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu
7. https://www.jamiiforums.com/threads/mbegu-za-mume-wangu-zinaniunguza-nifanyeje.1041769/
8. Kuolewa raha!
9. Raha ya tendo husika
10. Najisikia huzuni moyoni mwangu
11. Moniccca anawaaga jamani
12. Naweza kuwa nina mimba?
13. Najuta kuolewa!
14. Mume wangu anamichepuko mingi
Sawa kungwi nimekuelewaMonica hii ndoa kama kweli ilikuwepo ilikuwa ina kila dalili ya kushindwa kwa sababbu muda wako mwingi ulikuwa upo humu JF. Ndiyo maana Mumeo akaamua akutafutie mtu wa kukaimu nafasi yako. Akaona amteue house girl awe ana act kwenye nafasi yako maana hata wewe hukuwa na muda na huyo Bwana harusi. Next time mambo yako ya faragha usiyalete humu ndani.
Nina wasiwasi hiyo pia ikawa sababu ambayo imemchukiza mumeo yaani kila kitu mnachofanya chumbani wewe unakileta huku barazani.
Hili ni funzo kwa wengine wenye tabia kama yako. Ndiyo maana Master bedroom ina bafu na toilet mle mle yaani mnamalizana huko huko bila watu wengine hata wa ndaani kujua kinachoendelea...
ngoja bibie usichukulie hasira kwanza naomba unicheki pm tuone tutakacho kipangaWandugu habrn za kazi.