Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 234
Hahahahahahaaaaaaa nimechekaje......sio kuchepuka tu tena anajisifia kutoka na mtu wa miaka 60 - 70 halafu mchafu.....mmmhhhhhh siwezi aiseeee
hahaha
kizee halafu kiwe kichafu .sipati picha na kiboxer cha kizee kinatoka vumbiHahahahahahaaaaaaa nimechekaje......sio kuchepuka tu tena anajisifia kutoka na mtu wa miaka 60 - 70 halafu mchafu.....mmmhhhhhh siwezi aiseeee
Acha maneno yako ww...,raia wakianza kudiss dini yenu hamchelewi kutoa mapovu hapa
sidhani kama alimaanisha hivyo unavyosema bhanaAcha maneno yako ww...,raia wakianza kudiss dini yenu hamchelewi kutoa mapovu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahhahaaaaa kwanza atakuwa ananuka hatari......na yeye nae atakuwa mchafu vile vile sio kwa kulala na mtu mchafu kiasi hicho lolkizee halafu kiwe kichafu .sipati picha na kiboxer cha kizee kinatoka vumbi
Wewe unayetumia pesa zake kwanini usimwogeshe na kumfulia hivyo vichafu?kuna wanawake wajinga sana.inatokea unatembea na mume wake .anaanza kukutukana achana na mume wangu sio type yako. ni kweli maana unakuta mwanaume ana hela sana na ndio kitu kimekuweka pale . mwanaume anavaa chupi moja kila siku,vesti ni moja hadi imechanika kila siku,suruali kwa week anabadilisha mara mbili.soksi inabidi zibaki reception maana akiingia tu hotelini hakufai. maeneo ya siri nayo machafu inabidi tu ujikaze ili watoto waende shule, mwili mafuta haupakwi hata baby care.unajiuliza hawa watu hela wanatafuta za nini ? maana miaka yao ni 60-70. tufanyeje maisha yashakuwa magumu? nani asiependa maisha mazuri. msinilaumu ila ogesheni waume zenu tunachoka
kuna masister wanavuta hadi bange wewe acha kupanic . kwani huyu sister wa dini gani?Acha maneno yako ww...,raia wakianza kudiss dini yenu hamchelewi kutoa mapovu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app