Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,118
- 165,394
Hilo janaume ni lichoyo na libinafsi
Na dawa ya mijanaume michoyo ni mke kutafuta vyako tu.......
Nunua kiwanja then unamwambia nimenunua kiwanja hati anahifadhi mama/sista/baba
Nunua gari ukisafiri peleka kweny ikishindikana safiri na funguo gari laza ccm...
Miezi 2 tu atanyooka maana mchoyo ukimlipizia roho inamuuma.
Kuna jirani yangu mmoja alinunua kiwanja na kujenga halafu akamuandikisha mkewe urithi......alichofanya mke akanunua kiwanja chake...mwanaume alihangaika hadi kwa padri ili mwanamke amuweke kwenye kiwanja.....
Mfyuuuu za michoyo na mibinafsi
Naona wachoyo wenzie wanasema nisihukumu, teh mi sihukumu na mke alinambia hilo gari lilikua ndo kama "lodge"
na hizi group za kifwara za whatsapp mibaba mizima inachati usengerema akakuta msg za mme akichat kwenye grp kaandika "mie lodge nikafanyeje nawatmbea tu humu kwenye gari" na kuna vitu vya kike mwanamke alishavifuma ndani ya gari....
sasa kama gari ndio lodge saa ngapi atajiamini na kumuachia mke anajua mke anaezakutana hata uso kwa uso na bikini