Wakuu,
Nahitaji ushauri ninarafiki yangu ameolewa lakini amekuwa amwelewi mume wake, yaani mme wake anaamini ndugu zake kuliko mke wake, waga akisafiri funguo za gari anamwachia ndugu yake ambaye ni mdogo wake kodi za wapangaji mdogo wake ndo anapokea.
Akimwambia kwanini anafanya hivyo anamwambia kwani alishawai kumlaza njaa!Kiukweli uyu best yangu ameniomba ushauri nimeshindwa cha kumshauri ndo mana nimeleta kwenu wakuu tushee mawazo kwa pamoja!