Mume wa Shamim amtishia Mange Bastola

Status
Not open for further replies.
Wadau, tumesoma hiyo ya kumuingiza January Makamba, tena na wivu wake kwao na pia kusema Mr. Shamim anamiliki Oysterbay polisi atakuwa ametia chumvi tu, huyo amekimbilia Insta kutafuta kiki ila wengi wanamsema kwa tabia yake ya kutukana watu.

Hapo ndio anakamatika, ila ameonyesha uwoga kwa kusema kaenda kushtaki angenyamaza mapaparazi watuletee habari. Analo, si mgumu basi ajitie ugumu asikimbilie kupewa ushauri mtandaoni au kuonewa huruma.
 
Kwa jinsi alivyo mwongo, naona asilimia 80 ni chumvi. She can manipulate your mind in ways u cant understand. MUME wa Shamim naye mshamba. Angemtafutia wazee wa kazi wakachape mpaka kashike akili zake.

Jamani mliotukanwa, mtu wenu huyo kajaaa...

Waliotukanwa kina nani tena??? Halafu hayo ya Makamba yameingiaje tena? Mange kiboko...subiri nione hii movie
 
Waliotukanwa kina nani tena??? Halafu hayo ya Makamba yameingiaje tena? Mange kiboko...subiri nione hii movie

Hii movie anataka aitengenezee script iuze. Ila kutishiwa bastola sio issue ndogo mazee, Mr. Sembe hapo hakuwa smart. Huyo amem miss tu Makamba, hana lolote. Walotukanwa wengi mnoo, huyo Shamim si ndiye ambaye anaitwa mbwa kila siku?
 
Weeee unataka uniambie Makamba nae alimpitia??? Duuh kama nawaona wakina Naki....ujue hasira inakubamba mpk unajikuta unataka kumtawanyisha mtu ubongo.
 
Inawezekana pia ni move ya hao walioumizwa kwa kusemwa na huyu Mange. Tusubiri 'matukio'
Sitashangaa kama kibao kitamgeukia na kubambikiziwa kesi lukuki.... amegusa maisha ya wakubwa wengi ati.
 
Inawezekana pia ni move ya hao walioumizwa kwa kusemwa na huyu Mange. Tusubiri 'matukio'
Sitashangaa kama kibao kitamgeukia na kubambikiziwa kesi lukuki.... amegusa maisha ya wakubwa wengi ati.

Duuuuh tena awe makini.....maana nchi yenyewe hii.
 
Pesa sio kipimo cha akili my dear ( hususan hizo za sembe) ukizingatia na kujifanya wa mjini na connection na mapolisi....ndio kabisaaaaa

Kitendo cha kumtolea bastola na kumfata mpaka ostabey polisi na kujitapa kuwa anawamiliki na hakunasheria yoyote itakayoweza kumbana (according to mange maana hatukuwepo) tayari kadhihirisha kuwa biashara hiyo anafanya (ingawa hata humu jf kuna uzi ushawahi zungumzia hilo)

Alichopaswa kufanya ni kumripoti mange kimya kimya akaacha "vijana wake wa o'bey washughulile nae

Yaani hata mi nmeshangaa.....unamtolea mtu bastola then what next?kama sio kusumbuana tu.
Jamaa nae sio kabisa

Maana kwa lugha nyingine ametishia kuua.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom