Mume wa ndoa kumshauri mke kutoa mimba....

mtoto mpole

JF-Expert Member
Mar 22, 2010
678
148
Hivi ni sahihi kwa mume wa ndoa kumsupport mke wa ndoa kutoa mimba...kwa sababu tu hayupo tayari kupokea mtoto wa pili na wa kwanza ni mdogo wa 1 year.....je mune huyu ana mapenzi ya dhati kwa mkewe?
 
Yani ni la kuuliza tena hilo? Hamna kitu hapo, yani hata sijui mnaanzaje kuliongelea hilo. Mume! Tena wa ndoa
 
Hivi ni sahihi kwa mume wa ndoa kumsupport mke wa ndoa kutoa mimba...kwa sababu tu hayupo tayari kupokea mtoto wa pili na wa kwanza ni mdogo wa 1 year.....je mune huyu ana mapenzi ya dhati kwa mkewe?

mi hii kitu ilinikuta,first born alipotimiza miezi 6 tu mara wyf akanasa tena.ilitutia wasiwasi kidogo,tukaenda kumuona dr akatushauri but wyf akawa ameresort kwenye kuchomoa,nilimshauri madhara ya kuchomoa kuanzia kiimani hadi kiafya,akajifanya haelewi.ilibidi nifanye maamuzi,nilimwambia apaki kila kilicho chake na kile anachoona kitamsaidia maishani halafu aende kwao.hiyo shughuli akaifanyie kwao na wazazi wake halafu akimaliza wamtafutie mume.alipoona yamekuwa makubwa akawa mpole.2nd born akaja tukalea
 
Its all about family planning,kwa jinsi siku hizi zilivyojaa technolojia na ugumu wa maisha sijui mwanamke wa aina gani(I can call her too local) atathubutu kubeba mimba ambayo hawakukubaliana na mwanaume
Hapo kwenye hiyo ndoa kuna matatizo ya systeme...!!
 
Mambo ya wanandoa huwa ni kati yao wenyewe. Binafsi naona ni jambo tu la kawaida. Kuna uwezekano labda mimba zinaleta madhala ya kiafya kwa mpendwa wangu - lazima nimshauli atoe
 
Huo ni uuaji, je hao wanandoa kama wazazi wao wangewaua wangefikia hapo walipo?
 
Mimi mke wangu alikuwa na mimba ya mapacha. Akawa anaumwa shinikizo la damu. Ikawa lazima alazwe chumbe cha uangalizi maalum ICU na mimba ya miezi saba. Nilijihisi makosa (guilt) Nitauguzaje mtu ICU KWA MIEZI mitatu wodini? Je akifa jamii itanionaje? Na sio kama sina mtoto nina watoto 5. Tukiwa na watoto 6 watatu wa kiume na watatu wa kike, Tulikwishaamua kufunga kwa nja ya asil.Bahati mbaya mmoja wa kiume akaugua malaria ya kapanda kichwani, akafariki.Ndipo tukaamua kurudishia. Katika kutaka kurekebisha kosa juu ya maisha ya watu wawili, nikamuoma mke wangu bora tutoe. Mke wangu alikataa katakata. Nilimuomba daktari naye akakatataa katakata. Leo watoto hawa wapo najvunia kuwa nao. Nikirudisha mkanda numa najihisi vibaya kabisa.
mi hii kitu ilinikuta,first born alipotimiza miezi 6 tu mara wyf akanasa tena.ilitutia wasiwasi kidogo,tukaenda kumuona dr akatushauri but wyf akawa ameresort kwenye kuchomoa,nilimshauri madhara ya kuchomoa kuanzia kiimani hadi kiafya,akajifanya haelewi.ilibidi nifanye maamuzi,nilimwambia apaki kila kilicho chake na kile anachoona kitamsaidia maishani halafu aende kwao.hiyo shughuli akaifanyie kwao na wazazi wake halafu akimaliza wamtafutie mume.alipoona yamekuwa makubwa akawa mpole.2nd born akaja tukalea
 
Its all about family planning,kwa jinsi siku hizi zilivyojaa technolojia na ugumu wa maisha sijui mwanamke wa aina gani(I can call her too local) atathubutu kubeba mimba ambayo hawakukubaliana na mwanaume
Hapo kwenye hiyo ndoa kuna matatizo ya systeme...!!

Ni kweli mkuu hapo panaonekana pana tatizo la system, tena wanaume wengi hawapendi wake zao watumie family planing. kuna hata wataalam wengine wa afya wanashauri mama asitumie family planing wakati ananyonyesha, hayo yote yanawachanganya sana wanawake ila kama mwanamke akili kumkichwa kwasababu kikitokea chochote hapo kati lawama zote kwako.
 
Back
Top Bottom