Mume wa ndoa kumshauri mke kutoa mimba....

Mume wa ndoa kumshauri mke kutoa mimba....

mimi mke wangu alikuwa na mimba ya mapacha. Akawa anaumwa shinikizo la damu. Ikawa lazima alazwe chumbe cha uangalizi maalum icu na mimba ya miezi saba. Nilijihisi makosa (guilt) nitauguzaje mtu icu kwa miezi mitatu wodini? Je akifa jamii itanionaje? Na sio kama sina mtoto nina watoto 5. Tukiwa na watoto 6 watatu wa kiume na watatu wa kike, tulikwishaamua kufunga kwa nja ya asil.bahati mbaya mmoja wa kiume akaugua malaria ya kapanda kichwani, akafariki.ndipo tukaamua kurudishia. Katika kutaka kurekebisha kosa juu ya maisha ya watu wawili, nikamuoma mke wangu bora tutoe. Mke wangu alikataa katakata. Nilimuomba daktari naye akakatataa katakata. Leo watoto hawa wapo najvunia kuwa nao. Nikirudisha mkanda numa najihisi vibaya kabisa.

pole ndugu .... Imenikumbusha mbali .... Mwanangu alided bila hata ya kuliona jua; mama yake alikaa hospitali pasipo kujitambua kwa zaidi ya mwezi ..... Alafu m2 aniambie kutoa mimba dhambi kwa wanandoa ....hakuna kitu kama hicho .... Ebu nije niwapeni full story
 
pole ndugu .... Imenikumbusha mbali .... Mwanangu alided bila hata ya kuliona jua; mama yake alikaa hospitali pasipo kujitambua kwa zaidi ya mwezi ..... Alafu m2 aniambie kutoa mimba dhambi kwa wanandoa ....hakuna kitu kama hicho .... Ebu nije niwapeni full story

huoni case ziko tofauti na ya mwomba ushauri?.. kwenye suala la magonjwa mbona ni kitu kinachoeleweka???....
back to mtoto mpole huyo first born anatosha kabisa kupokea mdogo wake,kuwa na msimamo msiue mtoto wenu wenyewe Mungu kamweka tumboni nyie ni washiriki tu mwapaswa kulitambua hili,yeye ana makusudi na kila amletaye duniani,msiwe mawakala wa shetani kufupisha maisha ya kiumbe asiye hatia....ni dhambi ambayo hutaisahau maishani....mkishampokea huyo mtoto kuweni makini next time mbona kuna mbinu nyingi za kuzuia mimba jamani ni ushirikiano wenu tu unaohitajika hapo.
 
Last edited by a moderator:
Kama mtoto ni mdogo...na kubeba mimba nyingine italeta madhara kwa mtoto na mama ...inakua haina shida...lkn ipo wazi hii hata bila mama kushauriwa au kuambiwa anaamua mwenyewe tu au
 
Unashangaa elimu ya kukariri ukisasa na udigital

Nashangaa tena sana tu, eti mama naniliii embu tutoe hii mimba siko tayari kupata mtoto mwingine. Duuh kwahiyo ulitegemea nini? Kweli kuna wanaume wana guts, mi najionaga nna uso wa mbuzi ila hapo hapana. Wacha nature ichukue its course tu. Be a man, be a husband na kuna njia ya kudeal na ishu kama hii, na njia hiyo haimuhusu mwanamke hata kidogo
 
tatizo umetoa sababu ya kutushawishi tuseme ni sahihi..
 
Back
Top Bottom