mi hii kitu ilinikuta,first born alipotimiza miezi 6 tu mara wyf akanasa tena.ilitutia wasiwasi kidogo,tukaenda kumuona dr akatushauri but wyf akawa ameresort kwenye kuchomoa,nilimshauri madhara ya kuchomoa kuanzia kiimani hadi kiafya,akajifanya haelewi.ilibidi nifanye maamuzi,nilimwambia apaki kila kilicho chake na kile anachoona kitamsaidia maishani halafu aende kwao.hiyo shughuli akaifanyie kwao na wazazi wake halafu akimaliza wamtafutie mume.alipoona yamekuwa makubwa akawa mpole.2nd born akaja tukalea