Inawezekana mimi leo kwa story hii nakuwa siiamin kabisaaa,maana mtirirriko wake hadi hitimisho ni hadithi ya unaenda stand kupanda gar umesahau nauli..,
Kumbe una uwezo wa kuja kwa staili mpya ya namna hiyo mpaka kujifanya mwanachuo? Anyway
hongera una kipaji cha uandishi wa stori kwa ajili ya vijana walio chuoni.
Kumbe una uwezo wa kuja kwa staili mpya ya namna hiyo mpaka kujifanya mwanachuo? Anyway
hongera una kipaji cha uandishi wa stori kwa ajili ya vijana walio chuoni.
kitu ambacho nimegundua JF kuna watu wanajua kuandika, nimefungua huu uzi nipoteze poteze muda kilichonivutia ni uandishi, mtoto boobookitty (jina lako tu limenikumbusha mbali) unajua kuandika, kama una vistori vingine uwe unaleta jukwaani, katika hadithi ya leo nimependa ulipoandika "ile tu anataka kuchomeka charger kwenye simu" nimejikuta natabasamu na kuanza kukumbuka chuo
umefanya maamuz mazr sana, kuachana nae kwa kujua ni mume wa mtu na hata kurudisha pesa. inaonyesha unahtj mume mwema kwelikweli. na kwa sbb iyo nina kuombea upate mume bora ambaye mtapendana na wala hatkuwa na michepuko