Hilo nalo nenoHalooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!
Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.
Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%
Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
ndugu unelewa kiswahili vizuri au ubishi umekujaa -nimesema kwa udhoefu wangu inwezekana ni 1/121,836 ya member wa humu tu ya ukweli ina maana 121,835/121,836 ya member humu jf inawezekana ni uongo be brave mkuusidhani km unauzoefu wowote, binti anasema ashanunuliwa gari na shule kapelekwa! umbu nambie hicho kitu ambacho huyo mwanaume ashapata! yawezekana mwanzoni alimficha ili asijekutolewa nje!
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!
Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.
Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%
Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
ndugu unelewa kiswahili vizuri au ubishi umekujaa -nimesema kwa udhoefu wangu inwezekana ni 1/121,836 ya member wa humu tu ya ukweli ina maana 121,835/121,836 ya member humu jf inawezekana ni uongo be brave mkuu
ukiona mwanaume amekuficha kuwa ana mke toka mwanzo akaja kukuambia bada ya muda fulani jua kwamba
1.alichokuwa anakitaka keshakipata then
2.amekuchoka anashindwa tu kusema bye from my experience
Kutenda kosa ni kosa...
Kutenda kosa bila kujua ni kosa is forgivable
Kuendelea kutenda kosa huku unajua ni kosa......., well wewe ni mtu mzima na unawajibika kwa vitendo vyako, and feeling bad is normal sasa wewe unaiba vitu vya watu alafu unataka u-feel normal ?
Inaonyesha wewe bado una ubidamu na haujawa "total evil" bado roho inakusuta.., kama swali lako ni vipi unataka roho isikusute, just pretend kwamba unafanya jambo jema and he is better off kuliko huko alipo (although utakuwa unajidanganya)
Getting married to a man who cheats his wife, you will be married to a man who cheats his wife.
Mwanaume Hawezi penda watu wawili.Anampenda mkewe anakutumia.Lini mtaelewa mwanaume halazimishwi kuoa anapenda ndio anaoa.Unapoteza Muda and get a lifenifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
Usikurupuke soma kwanza , maana ukikurupuka ataacha kukulipia chuo halafu utakuwa hauna njia ya kujikwamua, soma , wakati huo unafanya maendeleo kama kujenga, then na wewe unatafuta mumeo , unamwambia umefika wakati wa kutengeneza familia yako na wewe. ila kwa sasa jifanye mjinga. Ni UJiNGA WAKE MWENYEWE KUTOA PESA AMBAZO ZILITAKIWA KUTUMIKA NA FAMILIA YAKE.