mume wa mtu

mume wa mtu

Totoz

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
 
Kuwa Nyumba ndogo, huna ujanja, si unampenda?
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.

Cha mtu ni ni cha mtu tu hata ukipende vipi. We utabaki mwizi na mwisho wa siku atabaki kwa mkewe! utaachwa peke yako. Akili mu kichwa wakati wa uamuzi ni sasa.
 
nachukia sn watu wanaojua mtu ana mke na kuolewa mke wa 2 haiwezekani, wao wanaendelea kung'ang'ania tuuu. Nashindwa nishauri nn.:shut-mouth:
 
usifanye kitu....subiria kugandiana
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.

Kwa namna hiyo utaumia sana kama hautotafuta mpenzi wako, achana na mapenzi ya kuibaiba.
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
Usikurupuke soma kwanza , maana ukikurupuka ataacha kukulipia chuo halafu utakuwa hauna njia ya kujikwamua, soma , wakati huo unafanya maendeleo kama kujenga, then na wewe unatafuta mumeo , unamwambia umefika wakati wa kutengeneza familia yako na wewe. ila kwa sasa jifanye mjinga. Ni UJiNGA WAKE MWENYEWE KUTOA PESA AMBAZO ZILITAKIWA KUTUMIKA NA FAMILIA YAKE.
 
ukiona mwanaume amekuficha kuwa ana mke toka mwanzo akaja kukuambia bada ya muda fulani jua kwamba
1.alichokuwa anakitaka keshakipata then
2.amekuchoka anashindwa tu kusema bye from my experience
 
hivi miaka minne hujawahi kujua kama ana mke kweli? Ina maana hujawahi kutaka kupafahamu nyumbani kwake au huwa mnakutana hotelini au kwako tu? Imekuwaje akueleze kuwa ameoa wakati huu au umegundua mwenyewe? Anyway, Soma kwanza, maliza chuo mengine utayajua wakati huo!!!
 
Akaah! hou wivu umetokea wapi? keshakwambia anamkewe na watoto wivu juu huwachi visa bi dada?
Ebu tafuta wako,la ujanja wakupata wako huna tulia usomeshwe uangalie ustarabu wako,hukua na wala hutokua
mke kwake sababu kama mkweli huyo jamaa asingekuficha miaka 4,..
 
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!

Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.

Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%

Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
 
Kutenda kosa ni kosa...
Kutenda kosa bila kujua ni kosa is forgivable
Kuendelea kutenda kosa huku unajua ni kosa......., well wewe ni mtu mzima na unawajibika kwa vitendo vyako, and feeling bad is normal sasa wewe unaiba vitu vya watu alafu unataka u-feel normal ?

Inaonyesha wewe bado una ubidamu na haujawa "total evil" bado roho inakusuta.., kama swali lako ni vipi unataka roho isikusute, just pretend kwamba unafanya jambo jema and he is better off kuliko huko alipo (although utakuwa unajidanganya)

Getting married to a man who cheats his wife, you will be married to a man who cheats his wife.
 
ukiona mwanaume amekuficha kuwa ana mke toka mwanzo akaja kukuambia bada ya muda fulani jua kwamba
1.alichokuwa anakitaka keshakipata then
2.amekuchoka anashindwa tu kusema bye from my experience

yeeessss.... aamue mwenyewe sasa...kusonga mbele au kuanza upya...
 
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!

Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.

Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%

Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.

Duh.....kaipata hiii...
 
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
achana na mume wa mtu, vinginevyo utapata laana ya kutokuolewa maisha yako yotefikiri ungefanyiwa hivo ww ungefurahini dhambi kubwa kutembea na mume/mke wa mtu, umesahau utaabika mchana kweupe
 
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO! Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi. Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100% Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
mwanamke wee, lol, namshauri afate hayo only becoz anamalizia shule kwanza then akishapata lyfe yake amuage tu mume wa mtu ila heshima muhimu kwa ndoa ya watu hasa mke halali amuheshimu aendelee kula mema ya nchi hadi atakapomaliza chuo,NB USIJARIBU KUZAA NA HUYO MUME ANYHOW PLS
 
ukiona mwanaume amekuficha kuwa ana mke toka mwanzo akaja kukuambia bada ya muda fulani jua kwamba
1.alichokuwa anakitaka keshakipata then
2.amekuchoka anashindwa tu kusema bye from my experience

sidhani km unauzoefu wowote, binti anasema ashanunuliwa gari na shule kapelekwa! umbu nambie hicho kitu ambacho huyo mwanaume ashapata! yawezekana mwanzoni alimficha ili asijekutolewa nje!
 
Back
Top Bottom